Recent content by Ongata

  1. O

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Ni dikteta ,ni mtu asiyefuata sheria,ni mtu aliyeshindwa kwenye ahadi zake
  2. O

    JamiiForums Tanzania Julius Mtatiro: Siasa ni misingi, vyeo vinapita!

    Ilani ya ccm ilishashindikana toka Nyerere afe,hawa waliobaki ni kuwaamuru polisi wakamate wale.kazi ya mkuu wa mkoa ni kazi gani tofauti na kuzuia mikutano ya kisiasa na kuongea uongo hawana kazi hawa,yaani hawa ni sawa na Magufuli kuongea tu lipeni kodi wakati yeye halipi anakula bure...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge kuhusu Halima Mdee na Esther Bulaya

    Unategemea ccm watafanya nini zaidi ya kuwafunga ,tuna spika nA naibu spika na kamati ya maadili ni ya wabunge tupu wa ccm unategemea nini,muwafungie mwaka roho ya ccm ipumue akiwemo spika anayetaka ahaabudiwe Kama Mungu!
  4. O

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mbunge wa Kibamba, John Mnyika akwaa adhabu kwa utovu wa nidhamu

    Huyu Lusinde darasa la Saba sifa ya kujua kusoma na kuandika kila bunge linapokaa lazima acheue uozo wa mAtusi,eti ndiyo beki wa ccm wa kukaba kwa matusi
  5. O

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mbunge wa Kibamba, John Mnyika akwaa adhabu kwa utovu wa nidhamu

    Ndugai ni mmoja wa naibu spika waliopitasha mikataba mibovu akiwa chini ya Anna makinda,unamtoa mtu kwa hasira za hovyo bure kabisa,anamfurahis
  6. O

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mbunge wa Kibamba, John Mnyika akwaa adhabu kwa utovu wa nidhamu

    Ndugai ni mmoja wa naibu spika waliopitasha mikataba mibovu akiwa chini ya Anna makinda,unamtoa mtu kwa hasira za hovyo bure kabisa,anamfurahisha magufuli
  7. O

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo inawakaribisha Watanzania Wote Kwenye Kongamano la #RasilimaliMadini

    Migodi ccm imekomba yote mpaka Tulawaka ,Nzega na buzwagi unakaribia kufungwa mnaenda kuongea kitu kilchosha.mnapoteza muda wenu bure
  8. O

    JamiiForums Tanzania Waliosaini mikataba mibovu wanakula raha, Yeriko Nyerere amelala sero

    Polisi wetu kwa ccm ni ma kamasi tu waoga kishenzi.polisi anaweza kuamrishwa na katibu wa tawi ccm kuwa huyu mumweke ndani na wakafanya hivyo,,,,,,,Kama ilifikia hatua wanazuia eti Alphonce Mawazo asiagwe na wananchi kisa tu ni mtu wa upinzani unaona sawa,walijaza bunduki mji wa mwanza mzima...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Rais John Magufuli anapaswa kuliomba radhi taifa hili

    Isitoshe Magufuli alikuwa bingwa wa kumsifu Kikwete,rejea kumbukumbu ya kuwekwa jiwe la msingi daraja la kigamboni wakati wa kuanzA ujenzi,alikuwa akisifu ccm na Kikwete hatariiiiiiiiijiiiiijiii
  10. O

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nawaambia TCRA makampuni ya simu yasiyotaka kulipa kodi, Futa kabisa hiyo kampuni!

    Na yeye mapato yake Magufuli ni kiasi gani? Asikae kusumbua wanaume wanaumiza kichwa kwenye biashara alafu yeye mamilioni zake katunza benki,yeye mwenyewe keshazeeka mamilioni hayo anayopokea mshahara anamtuzia nani ? Yeye mwenyewe mkwepa kodi
  11. O

    JamiiForums Tanzania Butiku: Miaka 55 hatuwezi kujenga mtambo wa kuchambua mchanga wa madini?

    Hata Zimbabwe kuna wazee lakini hawana noti Yao ya pesa
  12. O

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nchi imekuwa na ma-IGP wawili

    Kumbe
  13. O

    JamiiForums Tanzania Tengua teua ya Rais Magufuli ina faida?

    Cha ajabu amekuja kuharibu tu uchumi,ccm ni janga la taifa
  14. O

    JamiiForums Tanzania Tengua teua ya Rais Magufuli ina faida?

    Viwanda vimemshinda hana kazi la kufanya
  15. O

    JamiiForums Tanzania Mh.Tundu Lissu tunaomba utuache kwanza!!!Samahani saana

    Ccm ndio wakusanya kodi ,Tundu Lissu yeye ni mtoa ushauri kwa serikali
Back
Top Bottom