Maamuzi ya Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge kuhusu Halima Mdee na Esther Bulaya

Anderson Ndambo

Senior Member
Jun 3, 2017
152
207
Kamati ya Maadili, Haki na madaraka ya Bunge imewasilisha hati ya Hukumu ya Wabunge wa CHADEMA, Halima Mdee na Esther Bulaya waliofanya fujo siku ya Ijumaa tarehe 2 Juni 2017.

Bunge litafanya maamuzi baada kipindi cha maswali na majibu
 
Sijawai angalia bunge la chama cha mapinduzi pindi uhuru ukipatikanwa nitaangalia bunge kwasasa siwezi
 
Kamati ya Maadili, Haki na madaraka ya Bunge imewasilisha hati ya Hukumu ya Wabunge wa CHADEMA, Halima Mdee na Esther Bulaya waliofanya fujo siku ya Ijumaa tarehe 2 Juni 2017.

Bunge litafanya maamuzi baada kipindi cha maswali na majibu
Kesi ya nyani hukumu atoe nani?watu wote wanajua hukumu itakayotokea kwakuwa ccm wanataka wasipingwe huu mfumo hewa wa vyama vingi ni Amri ya mbele tu mafisi walipinga sasa watu walipinga hivi ikitokea yule waliompinga amejua namna anavyozurumiwa je watamfanyaje?
 
Ushahuri wangu kwa wapenda haqi waachieni ccm bunge lao nyie kaeni pembeni mtasumbuliwa hadi lini?

Wapinzani walishaamua kususa kwa kumkataa Naibu Spika nani aliwaambia warudi? Kama vipi wasuse tena mazima wasirudi kabisa.
 
Back
Top Bottom