Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,217
- 125,311
Habari zenu wana jamvi.
Napenda tujadili jambo moja tu kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Katika awamu hii 5 ya serikali ya JMT suala la kutumbua kwa viongozi mbalimbali na kuteua wale ambao wako kwenye nafasi fulani ya uongozi kuhamishiwa nafasi nyingine limekuwa ni jambo la kawaida sana.
Mimi binafsi nimekaa na kutafakari matunda yake tangu hili zoezi Mh Rais alivalie njuga na kulitekeleza kila mara, lakini nimeshindwa kupata majibu ya kuniridhisha kwenye athari chanya kwenye maendeleo yetu kupitia hii serikali.
Naomba tujadiliane hili jambo kwa kugusia faida zake na athari zake ili sisi kama wananchi tuweze kuwapa ushirikiano vizuri viongozi wetu hawa pindi wanapopewa madaraka ya kutuongoza.
Nawasilisha!