Recent content by Onestone

  1. O

    Bunge lichunguze madai ya kulazimisha wenye maduka Mlimani City watoe discount na kubandikiwa picha za Makonda

    Bunge lipi linaweza kuamua juu ya tuhuma zinazomkabili DAB ? Hiyo sahau, kwa hili na mambo mengine yote ambayo watanzania kote nchini wanayalalamikia ni wajibu wa watanzania wote wenye mapenz mema kwa taifa hili kuamka na kupinga hadharani yale yote ambayo serikali ama viongoz wake kuyatenda nje...
  2. O

    TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama(CCM) afariki dunia

    Mungu hachagui wewe ni nani,
  3. O

    Josephine Mushumbusi: Hongera Patrobas, Mwenye chama angegundua unahama CHADEMA, tungekusoma kama Ben Saanane

    Huyu si ndo alomponza mmewe sasa anauza nyanya supermarket !? Pambana na hali yako,
  4. O

    Arusha: Mgombea Udiwani Muriet Kupitia NRA Ashikiliwa na Polisi kwa Kosa la Kutaka Kujitoa na Kumunga Mkono wa CHADEMA

    Huu upumbavu, ni haki yake kikatiba kujitoa, angetangaza kumuunga mkono mfisiem mngemkamata !? Achen ubabe wa kijinga tumewachoka na habari zenu
  5. O

    Dereva wa daladala alivyobomolewa nyumba zake nne Dar es Salaam

    Halafu tunasema tunakuza uchumi !! Uchumi gani utakuwa wakati tunawatia umaskini wananchi, yaan unamrudisha mtu nyuma miaka 30, afu unamtangazia uchumi wa nchi yako unakuwa, binadam tumepoteza utashi na kubakiza akili ambazo hata kuku anazo, afu unategemea mtu aipende serikali kwa namna hii...
  6. O

    Hivi ni kweli Lowassa alishinda uchaguzi 2015??

    IPO siku utajua kama alishinda au lay !!
  7. O

    Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana

    Si kila unachokisoma unatakiwa kukitafsiri kama unavokisoma, ndo maana hata madarasani wanafundisha aina na dhana za aina kadhaa za ufahamu. Wewe umekurupuka, hicho ulichokisoma kina dhana ya lugha ya picha ambayo kwa tukio husika ni lugha ya kisheria zaidi. Si kila penye pazia ni mgahawa...
  8. O

    Umoja wa makanisa ya Pentekoste wampongeza Rais Magufuli, wamsifu kuwa na moyo wa Kishujaa

    Wachumia tumbo wanawapangia watu haki kiwango cha sadaka tena kwa shuruti
  9. O

    Umoja wa makanisa ya Pentekoste wampongeza Rais Magufuli, wamsifu kuwa na moyo wa Kishujaa

    Unajua cku hz hata sadaka hawapati, so njaa imewashika pabaya, sasa wanatafuta bahasha za mtukufu, afu HV hayo matamko huwa yanawashirikisha waumini wao ? Maana waumini wao ndo wanaoisoma namba na sidhani kama waumini wanaojitambua wanaweza kukubaliana na huu upuuz
  10. O

    Rais Robert Mugabe achezewa rafu na Jeshi, baadhi ya karatasi za hotuba zaondolewa mezani na kufichwa

    Ubwege wangu muulize mama ako, anaijua shughuli yangu, VP akina chenge, kagoda, lugumi, rada za barabarani, tibaijuka, nyumba za serikali n.k VIP watakuja lini chadema ? Waambie waje wasione haya, mlawakumbatia kisa wamewaoa nyie makahaba wapiga deki hamna ujanja wa kuwasema, *** u bustered
  11. O

    Rais Robert Mugabe achezewa rafu na Jeshi, baadhi ya karatasi za hotuba zaondolewa mezani na kufichwa

    Una ruhusiwa kisheria kwenda mahakaman kumfungulia mashtaka ya ufisadi huyo Lowasa, sio unatuharishia tu hapa, Mbona hata mabwana zako wanashindwa kumpeleka mahakaman wanaogopa nn ? Afu we kajamba nani unajitia kidomo kama mke wa baloz we ndo unajua sana au ? Umesahau kuwa timu ya mafisadi wote...
  12. O

    Nassari Agawa CD Kwenye Mkutano wa Kampeni

    Kule wataishi mangosha tuu milele na milele[emoji14] [emoji14] [emoji14]
  13. O

    Nape kushiriki kampeni za udiwani kusini

    Reference plz
Back
Top Bottom