Arusha: Mgombea Udiwani Muriet Kupitia NRA Ashikiliwa na Polisi kwa Kosa la Kutaka Kujitoa na Kumunga Mkono wa CHADEMA

Huu upumbavu, ni haki yake kikatiba kujitoa, angetangaza kumuunga mkono mfisiem mngemkamata !? Achen ubabe wa kijinga tumewachoka na habari zenu
 
Aibu kubwa na ukiukwaji wa haki. Mgombea wa NRA kata ya Murieti ameshikiliwa kwa nguvu ktk Halmashauri ya Jiji Arusha, kwa sababu ya kujitoa na kumuunga mkono Diwani wa Chadema , msimamizi wa uchaguzi amekataa kupokea barua yake na kumweka chini ya ulinzi. Time will tell
Sii arudi kukampeni huku akitangaza kura zake apewe wa chadema au nalo kosa watamkamata tena ??? Ccm bila msaada wa polisi ni hamna kitu duuuhhh
 
Hii nchi inazidi kukera sana, yaani hawa wanaotutawala sasa hivi wana mamlaka kama nn ,akili yake ikimtuma afanye hili atafanya tu ilimradi mamlaka za juu zifurahishwe mfyuuuuu
 
Back
Top Bottom