Recent content by onea 22

  1. O

    JamiiForums Tanzania Nadharia ya miaka 1,000 duniani ni sawa na siku moja mbinguni si sahihi kabisa

    mzee jupiter inazunguka umbali mrefu zaidi kuliko dunia kwa orbit zao ni tofauti.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Dhana potofu ya kwamba kila mtu kaandikiwa kifo chake

    natauta more informations,narudi...nisaidie pia...maybe tukijua what was their menu,,tutajua ni vyakula gani vinachochea uzalishaji wa seli hai zaidi kwenye mwili wa mwanadamu.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Dhana potofu ya kwamba kila mtu kaandikiwa kifo chake

    kwa mujibu wa mtoa mada,kama tungeendelea kukua(seli zinazozalishwa zingeendelea kuwa nyingi kuliko zinazokufa),basi kungekuwa na chance ya kuwa na maisha marefu zaidi...provided kwamba unakwepa magonjwa na ajali zinazoweza kupelekea kifo ghafla...ila kwa nadharia hyo pia mtu anaweza kufika...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ana viatu pair 75, handbags 47, mikanda 70, mawigi 62 nimeamua kumuacha kimya kimya

    Ungetuambia kwanza jinsi mlivyokutana na maisha yenu ya mahusiano kidooogo,,hlf ungemalizia na hili.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Fizikia katikati ya COVID-19

    Katikati ya mwezi wa tano mwaka 2020, dunia ilikuwa katika sintofahamu kubwa iliyoletwa kutokana na janga la corona. Ni kipindi ambacho ratiba pamoja mienendo mingi ya wanaaajamii duniani kote ilipaswa kubadilika ili kuendana na nyakati zile. Watu walipaswa kukaa mbali mbali(angalau mita moja)...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Rwanda ina upungufu wa Walimu. Imeagiza Zimbabwe

    hahahahaa,,,mpunguzie maneno makali!!upeo anao ila hayuko informed...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Historia gani ni ya kweli

    m bona umekumbuka tukio la 2008>
  8. O

    JamiiForums Tanzania Historia gani ni ya kweli

    mtoa mada ameongea general sana kwamba history ni vitu vya kubuni,,, baadh ya wadau wameingia kwenye historia ya uhuru wa Tanganyika,,but history tunaanzia kwenye history yaulimwengu umeanza vp,,tuje kwenye dunia imeanza vp,,tuje kwenye formation of continents,,tuje kwenye early life,,tuje...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Otile Brown na Sanaipendi waliua kwenye nyimbo ya chaguo la Moyo

    hahahahahaaa,,na watu wengi wanauita hivyo...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Historia gani ni ya kweli

    be specific mzee!!
  11. O

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jiwe La Msingi 3. Ukombozi Wa Fikra, Elimu na Uchumi

    shida watu hawasomi between lines...ila kwa kuwa nyuzi zipo watasoma hata miaka ya mbele huko..
  12. O

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jiwe La Msingi 1. Ukombozi wa Fikra, Uchumi na Elimu

    na kwa dunia jinsi watu walivyo siriazi na mambo yao!!!itatuchukua muda mrefu sanaa kufika nchi ya ahadi..
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaka yetu anasaidia ndugu wa mke wake, sisi hatusaidii

    Kwenda kulipiwa ada benki nayo ni kosa?? inabidi uanze kujiangalia mwenyewe kwanza kabla kumlalamikia bro..
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano na huyu mwanamke siyaelewi kabisa, sielewi ananichukuliaje

    Piga chini mama j, komaa na huyu.
Back
Top Bottom