Gharama za maisha zikoje?Hahaaa eti Rwanda mshahara ni wa uhakika nani kasema, mishahara kwa watumishi hasa walimu iko chini sana mfano certificate salary ukiichange kwa hela yetu iko around 130000,diploma around 250000 degree around 350000 juzi ndio wameongeza
Kwani lazima uende uko?Wakati Tanzania tuna walimu kibao wasio na kazi Rwanda ina upungufu mkubwa wa walimu imeagiza walimu toka Zimbabwe.
Walimu anzeni kusaka kazi nje ya nchi. Kesheni mitandaoni kusaka kazi badala ya kusikiliza nyimbo tu na kuangalia movie.
Pia, soma: Rwanda kuomba walimu Zimbabwe, hii ipoje? Hatuoni sisi nduguze?
GentaOya genta kafanyaje tena [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787
Gentamycine yamemkuta🤣Oya genta kafanyaje tena [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] View attachment 2320868
CVWakati Tanzania tuna walimu kibao wasio na kazi Rwanda ina upungufu mkubwa wa walimu imeagiza walimu toka Zimbabwe.
Walimu anzeni kusaka kazi nje ya nchi. Kesheni mitandaoni kusaka kazi badala ya kusikiliza nyimbo tu na kuangalia movie.
Pia, soma: Rwanda kuomba walimu Zimbabwe, hii ipoje? Hatuoni sisi nduguze?
Wewe Ni mtu uliyejawa na upumbavu.Wakati Tanzania tuna walimu kibao wasio na kazi Rwanda ina upungufu mkubwa wa walimu imeagiza walimu toka Zimbabwe.
Walimu anzeni kusaka kazi nje ya nchi. Kesheni mitandaoni kusaka kazi badala ya kusikiliza nyimbo tu na kuangalia movie.
Pia, soma: Rwanda kuomba walimu Zimbabwe, hii ipoje? Hatuoni sisi nduguze?
Hujaelewa kitu nineongelea shortage ya walimu Rwanda Au kwako ku exchange professionals wanabadilishana tu kama wehu? Bila kuwepo shortage?Wewe Ni mtu uliyejawa na upumbavu.
Rwanda na Zimbabwe wame sign agreement ya ku exchange professionals. Ndio maana unaona hao walimu wa Zimbabwe wanakuwa facilitated kupitia Rwanda Embassy ya Zimbabwe kwenda huko Rwanda kufundisha.
Sasa unataka walimu wa TZ washinde mitandaoni kwa kazi zipi hizo?
Wewe una upeo mdogo Sana wa akili.
Uncle bwanaaa anaitwaKuna mambo kama lugha zote mbili kiswahili na kiingereza walimu wa Tanzania hawajui kiswahili wanachanganya L na R pia kwenye kiingereza wanamwita "baba mdogo"- "small father" ni shidaa
Bonge la point kuna mdogo wangu mmoja ni camp officer kajifundisha Kituruki aisee.Sasa hivi nimekutana nae ananenepa mashavu tu kama panya wa stoo.Wabongo wavivu pia KIINGEREZA mzozo
hahahahaa,,,mpunguzie maneno makali!!upeo anao ila hayuko informed...Wewe Ni mtu uliyejawa na upumbavu.
Rwanda na Zimbabwe wame sign agreement ya ku exchange professionals. Ndio maana unaona hao walimu wa Zimbabwe wanakuwa facilitated kupitia Rwanda Embassy ya Zimbabwe kwenda huko Rwanda kufundisha.
Sasa unataka walimu wa TZ washinde mitandaoni kwa kazi zipi hizo?
Wewe una upeo mdogo Sana wa akili.
Walimu wa Tanzania hawana uwezo wa kufundisha kingereza kilichonyooka.Wakati Tanzania tuna walimu kibao wasio na kazi Rwanda ina upungufu mkubwa wa walimu imeagiza walimu toka Zimbabwe.
Walimu anzeni kusaka kazi nje ya nchi. Kesheni mitandaoni kusaka kazi badala ya kusikiliza nyimbo tu na kuangalia movie.
Pia, soma: Rwanda kuomba walimu Zimbabwe, hii ipoje? Hatuoni sisi nduguze?
Mishahara ya Rwanda mkuu ni kiduchu kweli halafu kazi kazi hakuna kuvuta upepoKingeleza mtihani, ila kwa nchi ya Rwanda mshahara ni wauhakika, lakini pia waTanzania ni wavivu kujifunza lugha mbali mbali za nchi