unajua hoja za kukurupuka huwa hazina muda kwa mtoa hoja kuaibika fuatilia histolia ya tanganyika ndo utajua jina mbowe limeanza ujasiliamali lini bt kuwa makini sana na siasa unazo zifanya hasa za kukulupuka itakusaidia
Sijakuelewa moja kandoro ni mkuu wa mikoa miwili, mbili unazuzia mambo ya alipo kuwa mwanza au ni mambo ya sasa hivi, tatu ladba unamzungumzia kandoro yupi Napenda kujua haya kabla sija changia kwenye mada huska
Acha kuwafundisha watu kazi ambayo wanajua kuwa wanaifanya kwa umakini mkubwa na kwa elimu zao kubwa za u dr, nasma hayo maana nina amini kuwa mbunge anayajua fika hayo matatizo na hapo ndio uwezo wake ulipo fikia ko ujinga, kujipendekeza kwa watu kama nyie hakuwezi kutatua kero za watu wa...
Hivi unapo sema vyama vya siasa unamaanisha ccm na chadema na kinacho mfanya nape ajitokeze tena kwa kuonyesha udhauifu mkubwa anajihami na historia ya ukaguzi ndani ya chama chake hivi nani anauhakika kuwa ccm imekaguliwa, mbona anakimbia mpaka anapitiliza kwao asubili ukaguzi na asitupe mambo...
Makamba ni mwanasias kijana na anajitahidi katika tasinia ya siasa ndani ya Tanzania lakini inatakiwa tusiwe washobokaji kijana huyu bado haja fikia hadhi ya kuanza kupewa nafasi ya kuwa mgombea urasi mwaka 2015 mana kuna watu ambao wamemzidi sifa nyingi sana hata ndani ya ccm, tatizo la wana...
ndo mshauli sasa atimize ahadi zake hivyo vituo viko wapi mana nimepita vijijini sijaona au unafanya siasa za kwenye mtandao tu ila hufiki maeneo ya matukio, Mwambie Mbungewenu mzembe huyo Mwanjale Kuwa tumeanza kula mtaji wake ko kufikia 2014 atajua tulikuwa tunafanya nini
utabaki na hoja zako hizo za kitoto wakati watu tunapiga kazi, mkumbushe mbunge wako MWANJALE akafanye wanachi alicho wa ahidi la sivyo tutazidi kuvuna wanachama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.