Recent content by one one

  1. one one

    JamiiForums Tanzania Haya matukio mawili; Kuna kitu asili inajaribu kutufundisha

    Tunywe mtori nyana zipo chini mkuu, kwa mjomba hakuna uridhi, uchawi hauvuki bahari, ngoma ya watoto haikeshi na kila lenye mwanzo lina mwisho.
  2. one one

    JamiiForums Tanzania Haya matukio mawili; Kuna kitu asili inajaribu kutufundisha

    Ni kweli kabisa hata, kiti cha naona kimepinduka.
  3. one one

    JamiiForums Tanzania Haya matukio mawili; Kuna kitu asili inajaribu kutufundisha

    Yamkini kuna mahali Taifa linavushwa, tujipe muda.
  4. one one

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Serikali ya Awamu ya Tano Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga

    Hakuna kinachodumu milele, ukombozi unakaribia. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. one one

    JamiiForums Tanzania Gereza la Hazwa

    Heri ya mwaka mpya mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. one one

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchunguzi wabaini mchezo mchafu wanandoa ajali ya gari kutekea moto

    Utunzaji wa siri. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. one one

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchunguzi wabaini mchezo mchafu wanandoa ajali ya gari kutekea moto

    Jiongeze mjini hapa. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. one one

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge Dkt. Tulia amenishangaza sana leo!

    Hajakosea, amewakumbusha wajibu wao. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. one one

    JamiiForums Tanzania Naitakia kila la kheri Al Hilal FC pale Omdurman nchini Sudan

    Wameshakufa 4 huko, utaifa tutaendelea nao kesho. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. one one

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daktari wa Saikolojia Radio One Jumapili: Ukiona unafanya mapenzi na mkeo/mpenzi kisha 'Anafumba macho' jua 'Anakuchiti' sana

    Baada ya huyu daktari leo kuusema huu ukweli, nikiwa kama GENTAMYCINE ambaye huwa napenda kuwajibika (kubaioloji) usiku tu huku taa ikiwa imezimwa nahisi wapenzi wangu huwa hawaishii tu kunifumbia macho bali huenda hata huwa wananizomea na kuning'ong'a vile vile kwakuwa huwa hatuonani minyago...
  11. one one

    JamiiForums Tanzania Je, CCM wamejifunza kitu kupitia uchaguzi wa Kenya?

    CCM itafunzwa siasa na kuondolewa madarakani na kizazi cha 1980 na 2000. Hawa wazee waache waendelee kula mema ya Nchi.
  12. one one

    JamiiForums Tanzania Ukituliza Akili yako na Kuisoma 'Press Release' ya Yanga SC juu ya 'Hukumu' ya Manara utagundua aliyekuwa Kocha Wao Luc Eymael hakukosea alipowadharau

    Changamoto kubwa ninayoiona Tanzania ni kwa wale wenye wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii kupewa nafasi kumbwa pasipo kutizama utimamu wa afya ya akili. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. one one

    JamiiForums Tanzania Jenerali Mabeyo amuaga Rais Mwinyi. Ajiandaa kustaafu June 2022

    Umeongea upuusi sana. Samahani lakini Sent using Jamii Forums mobile app
  14. one one

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia akienda nje ya nchi hapokelewi na viongozi wenzake wa juu?

    Mwenye macho na asikie. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom