Recent content by omwanawabandi

  1. O

    Mwimbaji wa Uganda Lady Mariamu yuko wapi?

    Tugende Tukole = Twende tufanye kazi
  2. O

    Nitajie sehemu moja Tanzania ambapo umeme huwa haukatiki au ukikatika ni mara chache tu

    Umenikumhusha mbali mkuu,hayo maeneo nimeyaenjoy sana enzi za ujana wangu,hyo hospital wana umeme wao wa maporomoko ya maji maarufu kama Penning
  3. O

    Uzi maalumu wa kuwaombea washkaji zetu waliotutoka enzi za utoto

    Domina classmate wangu ,ulikufa kwa ugonjwa wa moyo mwaka 1997, ulikuwa mpole sana ,you're always on my kind.R.I.P my lovely sister .
  4. O

    Jamhuri ya Shirikisho la Brazil | República Federativa do Brasil

    Nasikia pia Brazil kuna magenge mengi ya uhalifu na dawa za kulevya.In miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa vitendo Vinci vya uhalifu.vipi unaliongeleaje hili?
  5. O

    Hawa ndio wasomaji makala wenye sauti ya mvuto Tanzania

    Ahmed Dahman ashatangulia mbele za haki.R.I.P
  6. O

    Uliza swali lolote kuhusu wanyamapori wetu na tabia zao utajibiwa

    Fisi(empisi);Tembo( enjojo) Chui ( bugondo/ ekitalago) simba ( entale)
  7. O

    Corona: Mizozo ya mipakani, wa kulaumiwa ni Tanzania

    Hivi corona ikiisha mleta uzi utaandika nini?Almost daily ni bandika bandua nyuzi za corona tu ukijificha kwenye kichaka cha uzalendo.Unalipwa kiasi gani kwa kila uzi ?
  8. O

    Uliza swali lolote kuhusu wanyamapori wetu na tabia zao utajibiwa

    Fisi( empisi) Simba ( entale) Tembo( enjojo),chui( Bugondo)
  9. O

    Wako wapi? Uliza walipo ujibiwe

    Wako wapi 1.Kilonzo Mpologomi.naibu waziri wa fedha wa zamani 2.Semindu Pawa.Former Singida Mp 3.William Shelukindo .Former Bumbuli mp 4. Albert Mnali.former Bukoba rural DC 5.Muhidini Ndolanga..former FAT president 6.Jimy kabwe 7.Fenela Mkangala 8.Makwaiya wa Kuhenga
  10. O

    Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

    Sijawahi kula tunda kwa kutumia maputo(condom) mi ni kuuza mechi tu
  11. O

    Wanaume wanapenda kwa vipande sio kitu kizima

    Mtetezi wetu yu hai na si mwingine bali ni mama Mugwila
  12. O

    The virginity of Africa

    Hvyo vyote ulivyotaja ni hazina ya Kagera,umenikumbusha mbali sana mkuu,cha kusikitisha zaidi vitu hvyo vingi vimetoweka kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa/tabia nchi.Wakola muno kyoma Sent from my iPhone using JamiiForums
  13. O

    Mbongo hutamshinda akili, kuna mawakala wanauza laini zilizosajiliwa kwa fingerprint

    Piga *106# Wakuu hivi kuangalia kama namba yako imesajiliwa kwa alama ya kidole unabonyeza ngapi?
Back
Top Bottom