Njooni tufanye biashara ya mtandao pamoja Na kampuni ya AIM GLOBAL. Nenda usikilize semina kwa mbeya zinatolewa utawekeza laki tano tu. Lakini utajenga biashara ya kukuingizia mamilioni. Kama unataka kufahamishwa zaidi nitafute kwa 0757409103
Angalia vizuri huyo aliyepost ni wa kampuni gani. Aliyepost ni wa kampuni wa Affiliate wealth. Unajua MTU anayejiamini kuwa yuko salama au huwa anajinadi yeye kama yeye. Ukiona mtu anajinadi kwa kumtukana mwingine au kumtengenezea kashfa mtu mwingine. Ujue yeye ndo ana kasoro anataka amkashfu...
Mbona wapo wengi come in box nikutajie.
Nikutumie had dashboard zao.
Mfano mzuri ni Elias Muhooz , Eng.Dancan kamkama kutoka Uganda, Damiana Nyamai kutoka Kenya na wengine wengi wana miaka miwili kwenye kampuni lakini sasa hivi wanauwezo wa kuingiza milioni saba kwa siku. Kama unataka dashboard...
Kama kawaida network marketing ndio mfumo pekee wa bbiashara ambao unaweza kukuingizia kipato cha kutosha.
Kutokana na sababu kuu mbili ambazo ni:-
-unaingiza kipato kupitia kazi zinazofanywa na timu yako hebu fikiria nguvu kazi inayofanywa na watu 100000 kwa ajili yako hata kama ni ndogo kivipi...
Hii ndo inafanya watanzania wengi waseme
Vyuma vimekaza kumbe havijakaza kumbe vimelegea kabisa sasa mwenzetu kaanzisha Uzi mtu haujafanya uchunguzi umeishasema utapeli, kuwa makini kumwambia mtu tapeli na wakati hauna udhibitisho
Juzi nimepost thread yangu ya 2018 isikupite pasipokufanya huu uwekezaji ambayo inahusiana na fursa nzuri ya uwekezaji inayotolewa na kampuni ya Alliance in motion global lakini watu wengi walipinga. Fursa yenyewe inayotolewa ni biashara ya mtandao biashara ya ulimwengu wa sasa. Watu wanabisha...
Hakika nimegundua kitu kupitia hii thread kuhusu mitazamo ya watu mbalimbali.
Kuhusiana na fursa mbalimbali kama fursa .
Watu wengi wanapenda kufanya conclusion hata kwa kitu wasichokijua. Hawataki kujifunza
Ushauri wangu ni kwamba kabla haujaji fanya uchunguzi
Kabla haujaanza kufanya biashara...
Mkuu compasation plan ya AIM global ni tofauti na hizo za forever living. Ndio maana RRobert kiyosaki ameandika kwamba network markerting ni biashara nzuri ambayo ukiifanya unakuwa financially free lakini anasisitiza yafuatayo wakati wakuchagua kampuni ya kufanya nayo kazi
.*angalia compasation...
We sema hivyo lakini Mungu ndio anajua lilo haki na ninaamini anatatubariki wote tulio katika hii biashara. Maana mafanikio tunayaona.
Na usiseme hivyo ukadhania kuwa watu wenye interest na uwekezaji. Wanaojua ni quadrant gani wafanyie kazi ili waweze kugain financial freedom ukadhani hawatajoin...
Kwani Mimi nimeandika kampuni ya forever au nimeandika AIM global . kila kampuni ina compasation plan yake na ndio maana AIM global the best direct selling company kila mwaka kutokana na compasation plan take nzuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.