2018 isikupite pasipo kufanya huu uwekezaji

Walewale ....Forever living,GNLD na kina vyuma vimekaza pambaneni na kazi...achen utapel
 
Omuziba hebu tufanye kazi mkuu, achana na hizi mambo. Kirahisi kabisa mtu apate milioni 7 kwa siku? Nawe unayabeba kama yalivyo unayaleta tu humu, hebu tushauriane vitu vya uhalisia jamani tuachane na maigizo haya muda wake ulishapita. Kama hamkuvuna kipindi cha zamani potezea tu mkuu
Mkuu huo ndio. Uhalisia na nikisema milion1-7/siku si maanishi kwamba unajiunga siku hiyo hiyo alafu ndipo unaanza kuingiza milioni kwa siku
Lazima kwanza utengeneze team. Utaanza kwa kuingiza 69000/wiki utajikuta baada ya muda unaingiza laki moja kwa wiki kadili team yako inavyokuwa ndivyo unavyoingiza hela nyingi.unaweza ukachukua kipindi cha mwaka mmoja mpaka miaka miwili kutengeneza timu inayoweza kukuwezesha kuingiza hicho kiwango cha pesa

Ninachokizungumzia hapa sio theory Bali ni kitu halisi maana evidence za watu wanaoingiza hicho kiasi cha fedha kwenye team yangu ya "The visionaries team" ni nyingi. Mfano mzuri ni Wapo wanachama zaidi ya 50 kutoka nchini Uganda wenye miaka miwili kwenye kampuni ambao wameshatengeneza timu kubwa ambazo zinawezesha kuingiza kiasi hicho kwa siku
 
wajiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiinga ndio waliwawo matundu yote
 
Mkuu huo ndio. Uhalisia na nikisema milion1-7/siku si maanishi kwamba unajiunga siku hiyo hiyo alafu ndipo unaanza kuingiza milioni kwa siku
Lazima kwanza utengeneze team. Utaanza kwa kuingiza 69000/wiki utajikuta baada ya muda unaingiza laki moja kwa wiki kadili team yako inavyokuwa ndivyo unavyoingiza hela nyingi.unaweza ukachukua kipindi cha mwaka mmoja mpaka miaka miwili kutengeneza timu inayoweza kukuwezesha kuingiza hicho kiwango cha pesa

Ninachokizungumzia hapa sio theory Bali ni kitu halisi maana evidence za watu wanaoingiza hicho kiasi cha fedha kwenye team yangu ya "The visionaries team" ni nyingi. Mfano mzuri ni Wapo wanachama zaidi ya 50 kutoka nchini Uganda wenye miaka miwili kwenye kampuni ambao wameshatengeneza timu kubwa ambazo zinawezesha kuingiza kiasi hicho kwa siku
Haya jomba, naomba nikujibu kabla hata sijasoma maelezo yako haya, samahani nimeishia hapo utaanza 69,000/= kwa wiki.............., Kwa ujumla kwangu hapana. Naomba nitoe nafasi kwa wengine watakaokuwa interested mimi NO THANK YOU.
 
Sasa unataka uingie Siku hiyo hiyo uanze kuingiziwa milioni 7/kwa siku ? Lazima ujenge msingi wa biashara yako kwanza.
Usipojoin wavumilivu wapo wengi watajoin lakini baada ya miezi sita utaona mabadiko kwao nitashangaa unawafuata kujoin kwao
Population ya ulimwengu inazidi kuongezeka na watu wanaotafuta fursa za uwekezaji ni wengi.
Kwa usipojoin usifikiri kuwa waliomo kwenye alliance watafail. Kamwe hawawezi kufail

Umenikumbusha mwandishi wa kitabu cha the cashflow quadrants. Pale alipoondika kwamba bishara ya mtandao pindi inaanza nchini marekani alikuwa anaiona kama "scam" kama upuuzi Fulani lakini baada ya kufanya uchunguzi akaona wale waliojoin hawarudi nyuma kimaendeleo ndipo alipokuja kutambua umuhimu wa network marketing
Na sasa ndiye mwandishi wa kitabu cha the Business of 21st century kinachoelezea ya kwamba kwa nini ufanye biashara ya mtandao na sivinginevyo katika hii karne ya 21 iliyojaa sayansi na teknolojia
 
We jamaa unamaliza wino wa JF bure acha kunipiga sound za kitoto hizo.
 
H
haya ndo yale yele ya forever living GNLD BIF SUMA mlongelonge aloevera mayai ya kware n.k
Ha ha ha,au siyo mkuu,hakuna hela za bure.
Nikiona hizi issue nakumbuka kale kamchezo ka karata nyekundu hatari sana
 
haya ndo yale yele ya forever living GNLD BIF SUMA mlongelonge aloevera mayai ya kware n.k
Kwani Mimi nimeandika kampuni ya forever au nimeandika AIM global . kila kampuni ina compasation plan yake na ndio maana AIM global the best direct selling company kila mwaka kutokana na compasation plan take nzuri
 
Mkuu ukitaka kuwakamata nenda vijijini hko ambako huu ushenzi haujafika, otherwise pambana na hali yako kwa kuachana na business za kipuuzi
 
Afadhali nicheze tatu mzuka kuliko upuuzi kama huu.
 
Mkuu huo ndio. Uhalisia na nikisema milion1-7/siku si maanishi kwamba unajiunga siku hiyo hiyo alafu ndipo unaanza kuingiza milioni kwa siku
Lazima kwanza utengeneze team. Utaanza kwa kuingiza 69000/wiki utajikuta baada ya muda unaingiza laki moja kwa wiki kadili team yako inavyokuwa ndivyo unavyoingiza hela nyingi.unaweza ukachukua kipindi cha mwaka mmoja mpaka miaka miwili kutengeneza timu inayoweza kukuwezesha kuingiza hicho kiwango cha pesa

Ninachokizungumzia hapa sio theory Bali ni kitu halisi maana evidence za watu wanaoingiza hicho kiasi cha fedha kwenye team yangu ya "The visionaries team" ni nyingi. Mfano mzuri ni Wapo wanachama zaidi ya 50 kutoka nchini Uganda wenye miaka miwili kwenye kampuni ambao wameshatengeneza timu kubwa ambazo zinawezesha kuingiza kiasi hicho kwa siku
Mkuu kama umepevuka fuatilia living forever, NLD, Flame nk..ilikuwa ni biashara hio hio ya nertwork marketing leo wako wapi vijana wengi waliingia kwa msisimko hakuna walichokipata zaidi ya kuishi kwa matumaini.

Shangazi yangu mimi ndiyo alikuwa coordinator wa living forever Tanzania alituhamasisha wachache waliongia hakuna hata mmoja aliyepata walichukuwa wanahubiri yeye mwenyewe mpka leo choka mbaya ndoto za utajiri alizokuwa nazo na kutuaminisha naona zimeyeyuka.

Mara nyingi watu wanaojiigiza kwenye hizi busness wanakuwa over ambitions kwelikweli eti kuna wati wametajirika huko uganda huwa hawasemi tanzania wanatoleaga mfano uganda wakijua hatuwezi fuatilia.

Mimi nawatia moyo jamani tuchape kazi nunua mzigo au hiduma uza direct sell hizi biashara za ujanja ujanja siyo nzuri.
 
Wizi ,ujambazi, unyang'anyi ,ukibaka,utapeli, na ufisadi
We sema hivyo lakini Mungu ndio anajua lilo haki na ninaamini anatatubariki wote tulio katika hii biashara. Maana mafanikio tunayaona.
Na usiseme hivyo ukadhania kuwa watu wenye interest na uwekezaji. Wanaojua ni quadrant gani wafanyie kazi ili waweze kugain financial freedom ukadhani hawatajoin
Ukweli utabaki kuwa ukweli na uongo utabaki kuwa uongo sasa ukisema ni utapeli wakati sio utapeli unadhani biashara ndo haitaenda

Aisee wanajamii forum naomba tucomment kitu ambacho tumefanyia uchunguzi wa kutosha kuliko kupotosha uma .
Maana hili sio jukwaa la utani au siasa
 
Back
Top Bottom