Madeni ya TALA na Branch

Mimi branch huwa wananipush sana nkiwa na emegence za hapa na pale mpk nw ninauwezo wa kukopa hadi kilo 4,ofcoz huwa nawalipa kwa wakati maana sioni sababu ya kuwadhurumu kwa kutokuwalipa ilihali fedha zao huwa nikiomba tu dk haiishi mzgo unaingia so sionagi inshu ya kutowalipa na ukizingatia kwa mfano laki 3 ukikopa unawalipa kwa miez mitatu kdg kdg,kwa maisha yalivyo taiti kibongo bongo utamkopa nani hela yafasta fasta afu uje umlipe kdg kdgo???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa taratibu zao zipoje na mimi niombe mzigo.
 
Duh, ukikopa laki tatu unarudisha shilingi ngapi? Je kwa kuanza unaanza na shilingi ngapi? asante
 
Nahitaji kujua zaidi kuhusu TALA, wako wapi? Naomba nifahamu jinsi ya kuwafuatilia, je wana ofisi au ni katika mitandao? masharti ya kukopa ni yapi? asanteni
 
Habar, nahitaji kujua madhara ya kutowalipa hawa tala na branch mkopo uliochukua, maana kuna jamaa yang anadaiwa na elfu 70 tala na laki moja branch na hajawalipa miez kadhaa imepita ila jamaa wanamtumia mesej za vitisho sana hadi namim naogopa kuwakopa ili nitokomee.

MADHARA GANI UTAYAPATA MAANA HATA WAO HAWAJAWEKA BAYANA AU KAMA USHAPATA HAYO MAAFA NIJUZE

Sent using Jamii Forums mobile app
alipe tu maana huko mbeleni tena muda si mrefu atakuwa akopesheki ata kwenye mabenk au saccos.
 
TALA na BRANCH wasumbufu sana kwenye kudai ,mi nimekopa tangu mwaka Jana ila kila siku wananipigia simu kunidai na msg za mikwara mi sitishiki hakuna aliefungwa kwa ajili ya deni,serikali inanidai M 16.7 za mkopo sembuse nyie TALA elfu 52 na BRANCH elfu 11 ,nlikopa nikalia bata.ACHENI USUMBUFU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mm hawa jamaa wananidai nilikopa laki moja kila siku wananitumia meseji za vitisho na wanapiga simu.
Mara ya mwisho juzi wamenitumia meseji iliyosomeka hivi.
"HABARI,HARVEST TANZANIA LTD NI WAKALA WA UKUSANYAJI MADENI KWA NIABA YA TALA,TUMEPOKEA TAARIFA ZAKO KWAMBA UMESHINDWA KULIPA MKOPO WAKO KWA WAKATI. KAMA WAKALA WENYE DHAMANA TUNAKUKUMBUSHA UFANYE MALIPO YAKO LEO HII KABLA YA KUKUCHUKULIA HATUA KALI KISHERIA.MALIPO YOTE YAFANYIKE TALA".
Je hii kitu Ina ukweli au ni mikwara tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasikutishe hawa jamaa mi natumiwa hizi kila siku,juzi nikapigiwa na mdada wa branch anapanic nikamwambia Dada usinitishe na hako kahela kenu mkashtaki basi, kama sijapata hela ya kuwalipa mnataka nikaibe!? Tulibishana sana mwisho kakata simu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TALA na BRANCH wasumbufu sana kwenye kudai ,mi nimekopa tangu mwaka Jana ila kila siku wananipigia simu kunidai na msg za mikwara mi sitishiki hakuna aliefungwa kwa ajili ya deni,serikali inanidai M 16.7 za mkopo sembuse nyie TALA elfu 52 na BRANCH elfu 11 ,nlikopa nikalia bata.ACHENI USUMBUFU

Sent using Jamii Forums mobile app
dah we jamaa aseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom