Recent content by omusita

  1. omusita

    JamiiForums Tanzania Hali ya hewa Lumumba sio nzuri, Wizi wa zaidi ya 600 ml wakipasua chama!

    baada ya kula hiyo mipesa unasikia yanasema ccm oyeeeee!!!!!yaliyofanywa misukule yanaitikia.....
  2. omusita

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CHADEMA kwazuka ugomvi, Mjumbe wa Kigoma apigwa

    safi sana redbriged
  3. omusita

    JamiiForums Tanzania Midege ya kivita ya Marekani inatisha!

    mshana jr;wachina ni washenzi hawajitangazi lakini siku wakiamua kujianika dunia itabaki na taharuki wtz mbona tulionyesha makomando siku ya muungano name uhuru kenyata alikuwepo
  4. omusita

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri bungeni Dodoma: Leo tarehe 6 June, 2014

    Huyo bibi huwa ni kichefuchefu bungeni na bahati nzuri mda wake unaenda kuisha,sijui ingekuaje angekuwa spika wa bunge la katiba
  5. omusita

    JamiiForums Tanzania Polisi & CCM na hila za ugaidi CHADEMA: Wakamata house boys na girl wa Lwakatare usiku...

    Hawa polisisisiem wametuchosha b 200 za wananchi zimeibiwa hakuna mtu hata mmoja wa kusingizia kumkamata na kumuachua kama mwigulu au mhongo tujue basi wanafanya kazi sasa maskini hawa wafanyakazi wa ndani na ugaidi wapi na wapi
  6. omusita

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro: Polisi wamezingatia maadili kwa kuruhusu maandamano nchini

    Awaulize walimu na madaktari
  7. omusita

    JamiiForums Tanzania Makinda amwambia Machali ana laana, naye amwambia Makinda ni dikteta!

    kwani makinda sio dikteta
  8. omusita

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaingiza Pikipiki 252 kuimarisha chama

    bora chadema wanaingiza vitu kwa uwazi ccm wao hata kuwambia wanachama wake kilichoingia ndani ya chama hakuna eti wana sera ya usiri serikalini hadi kwa chama la maana kwa wanachama wao ni kugawa kofia,t-shet,na vitambaa kwa wabibi zetu kwa msafara wa kinana kuna gari limesheheni madudu...
  9. omusita

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Busanda Geita na heka heka za diwani Bugomola kuwa mbuge

    hawezi kupambana na mwenyekiti wa chadema mkoa wa geita Alphonce mawazo na ndo jimbo analolitaka kamanda
  10. omusita

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuanzisha Umma Televition na Umma Radio Service ni jambo la muhimu sana

    kwa serikali hii haiwezi kukubari chadema kuanzisha kituo cha television
  11. omusita

    JamiiForums Tanzania Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

    aliemshawishi kupata ubunge unafikiri anafurahia afunge ndoa
  12. omusita

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CCM live Singida kupitia Star tv

    [mmaranguoriginal.;mbona cdm mlichangisha mapesa ya wananchi kupitia star tv hatukulalamika,wewe ni machicha ya mbege kweli[ hawawezi kutumia TBC wanajua wananchi walio wengi hawaangalii TBC ya ccm
  13. omusita

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CCM live Singida kupitia Star tv

    tunaomba camera ielekeze ilipo nyomi ya watu kama mikutano ya ukawa au ukawa imekula dili na star tv iwe inaonyesha watu waliovaa nguo za ccm tu ambao sio wengi
  14. omusita

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CCM live Singida kupitia Star tv

    Bahati nzuri wote wamevaa ngua mpya za chama hivi zinauzwa duka gani hapa singida
Back
Top Bottom