Recent content by omusimba

  1. O

    Kipi kinachelewesha uteuzi wa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi PSPTB?

    Bodi ya wataalamu wa ununuzi na ugavi haijatoa matokea ya watainiwa waliofanya mitihani mwezi Agosti na pia Novemba 2020 kwa sababu haina bodi ya wakurungenzi. Suala la taasisi hii kukosa bodi ya wakurugenzi lilitolewa mbele ya waziri mkuu na waziri husika kwenye kongamano la wataalamu wa...
  2. O

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Sisi tunataka umeme lkn wao kila siku wanapishana kwenda bandarini.
  3. O

    Kibiti: IGP Sirro aagiza msako wa watoto watoro 1,300. Hawajulikani walipo

    Siwaamini kabisa watu waliokimbia upadri kama Slaa na Sirro
  4. O

    Mheshimiwa Rais, tunataka umeme!

    Kwa mwezi mmoja sasa nchi iko kwenye mgawo ambao chanzo chake hakijulikani kwa wananchi. Maeneo ya Nyanda za juu kusini hali ni mbaya Sana. Tunahitaji sana Umeme kwa ajili ya shughuli za kiuchumi. Binafsi sijaona juhudi zako katika kuhakikisha suala kukatika umeme linakuwa historia.
  5. O

    Kitengo cha maudhui TCRA : Huu mtindo wa kugeuza redio kama vituo vya kamali hauvumiliki.

    Habari wadau. Kumezuka matangazo yasiokoma kwenye vituo karibia vyote vya redio kuhamisisha masuala ya kucheza kamali. Bila kuathiri dhima ya kujiendesha kibiashara lkn tabia redio kutumia nusu ya airtime kunadi kamali sio nzuri kwa mstakabali wa ustawi wa taifa. Hatuwezi kujenga taifa là...
  6. O

    Tetesi: Siri yafichuka CCM juu ya ukatibu mkuu. Abdallah Bulembo aandaliwa kuchukua nafasi hiyo kiurafiki na uswahiba

    Bulembo darasa la saba jamani Naomba katibu wa itikadi na uenezi awe Joseph Msukuma.
  7. O

    TRA Mbeya wakumbwa na Uhaba wa kadi ya kuchapishia leseni za udereva.

    Katika hali isiokuwa ya kawaida baadhi ya wananchi wenye mahitaji ya leseni za udereva ,wamekumbwa na mshangao hapa jijini Mbeya baada ya kuambiwa kuwa hawataweza kupata kadi mpk baada ya mwezi mmoja. Hii ni kwa sababu kadi za kuchapishia leseni zimeisha na zitapatikana bàada ya mwezi mmoja...
  8. O

    Jiji la Mbeya lakumbwa na uhaba Wa maji kwa wiki mbili sasa

    Katika hali isiokuwa ya kawaida maeneo mengi ya Jiji la Mbeya yakumbwa na uhaba Mkubwa Wa tangu mwishoni mwa mwezi. Maeneo yaliyoathirika zaidi ni Forest, Mwanjelwa, Kabwe stand, Soweto, Mama John , Iromba, chuo kikuu Teku, na Mwambene. Mamlaka zinazohusika zifanye jitihada kurejesha Huduma hii...
  9. O

    Msaada: Nimebambikiwa deni na bodi ya mikopo ya elimu ya juu

    msamehe bure mkuu, huwezi jua kaamkaje leo
  10. O

    Msaada: Nimebambikiwa deni na bodi ya mikopo ya elimu ya juu

    leta mchango wa hoja za kisheria tu itafaa, siwezi kuomba pesa jamii forum
Back
Top Bottom