Recent content by omushaijamkulu

  1. omushaijamkulu

    Forex haiwezi kukutoa kimaisha, ni bora ubeti au ukalime

    Huyu aliyeandika uzi fala kweli yaani dolari 3500 unaunguza akaunti? Tatizo ni tamaa na hofu, mtu anachukua $1000(2.3M) ananunua pikipiki Boxer anampa dereva amletee sh 7000 kwa siku (3$) yaan kwa wiki 50k(23$) na hapo oil anamwaga mwenyewe yaan ukinunua pkpk kwa $1000 kwa wiki unapata 42k...
  2. omushaijamkulu

    Makombora ya Iran yameunyima usingizi utawala haramu wa Israel,mabeberu na matakthiri wa kieneo

    Ayatolah Komnei huko mahututi huko kalishwa polonium! Wanalipiza kisayansi so kukurupuka kama hamza! Mindevu ikiwa mingi akili inakimbilia kwenye visigno[emoji23][emoji23]
  3. omushaijamkulu

    Wagiriki nini kiliwakuta? Sasa hivi hamna tena Wagiriki wenye akili kama zamani?

    Kilichoharibu kabisa genetic codes za wagiriki na waitaliano kutoka kuwa magenius mpaka kuwa mazwazwa kama sasa hivi ni kutumia vifaa vilivyotengenezwa kwa Lead(Pb) katika matumizi yao ya winery, wametumia vifaa hivyo kuivisha vinyo mpaka kwenye vifaa vya kunywea, walkuwa wakiweka vinyo kwenye...
  4. omushaijamkulu

    Marekani hawajaiacha Afghanistan kwa bahati ambaya. Huenda wakamtumia jasusi wao aliyekuwa makamu wa Rais, Amrullah Saleh

    [emoji23][emoji23] halafu watu wenye fikra km zako ni hovyo kabisa! Unadhani mmarekani anatoka virginia california huko aje kandahar kupgana vita badala ya kula bata kwenye fukwe za miami! Hawa jamaa wao walifocus huko wakilenga mafuta na madawa ya kulevya, kuna ushahidi mpk wa video CIA...
  5. omushaijamkulu

    Video: Taleban wacheka walipoulizwa na mwandishi wa habari kama wapo tayari kuunda serikali ya kidemokrasia ambayo wanawake watagombea/kupiga kura

    Biashara kubwa ya Taliban ni opium na cocaine! USA wamesema wanaelekeza nguvu DRC[emoji23][emoji23]! Kama nilivyowahi kusema hawa mabeberu wao wanaangalia maslahi ya taifa lao tu! Wanafanya long term plan na ukiangalia miaka kama 30 mbele hivi mafuta(oil) so dili tena, wanakuja congo kutafuta...
  6. omushaijamkulu

    Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

    Kwahiyo nyie mnaoshinda karume kusakua mitumba ya kuuza mtaani mnamzidi huyu bilionea akili
  7. omushaijamkulu

    Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

    Nyie ambao hata kusoma hamtaki mnatka tu kuweka hela na kuona blue hamna! Financial markets n kati ya kazi ngumu sana! Inahitaji kudevote muda kujifunza na kufanya analysis kila siku hata kama hutrade siku hiyo ili akili ikae sharp! Kwa mara nyingi watu ambao hata shuleni walkuwa vichwa maji...
  8. omushaijamkulu

    Msumbiji: Mafuta kuchotwa Baharini inawezekana vipi?

    Nyambizi(subamarine) ya JWTZ ilikuwa imeenda kupeleleza hao wanamgambo tank la mafuta likapasuka! Ilibidi tugeuze chap chap mpka hapo kigamboni ndo tukalipaki! Nadhani ndo hayo mafuta hata sisi tulikuwa tumeyanyonya hapo Total kariakoo
  9. omushaijamkulu

    Simbachawene: Magereza ya Tanzania yanaendeshwa kikoloni

    Unaandika kama vile umekalia dushe la nchi 12
  10. omushaijamkulu

    Hongera Serikali kurudisha Ikulu Dar Es Salaam, Sasa tunakula bata jijini

    Kigezo cha kupeleka makao makuu dar kilikuwa na sababu za kishamba na kizamani( eti iko katikakati) wakati Washington DC ( makao makuu ya Usa) iko umbali wa zaidi ya km 4500 kutoka baadhi ya miji ya pembenzoni lkn bado n makao makuu
  11. omushaijamkulu

    Prof. Ndalichako ni kweli Serikali inazifaulisha makusudi shule za Serikali dhidi ya shule Binafsi?

    Hii ina ukweli 90% haiwezekani itokee revolution ya miaka 5 tu game ichange hivi! Swali: serikali imefanya nn cha ziada kuongeza ufaulu kwa shule za serikali kuliko ilivyokuwa awali?
  12. omushaijamkulu

    Meli ya Israel ya mafuta yapigwa kombora pwani ya Oman ikitokea Saudi, mabaharia wawili wauawa

    Kule hamna kitu haswa sema uchina inatishia usalama wetu mabepari, tunaenda pale kumwongezea nguvu SK na Japan pia kuipa mamlaka kamili Taiwan na Hongkong! China baadae atakuwa soko zuri na source of cheap labour! Ngoja kwanza tumalize kuiset dunia kupitia One World Order
  13. omushaijamkulu

    Meli ya Israel ya mafuta yapigwa kombora pwani ya Oman ikitokea Saudi, mabaharia wawili wauawa

    Wazungu hawana habari tena na hao waarabu na wapersia, mafuta so dili tena, Marekani na washirika wake wanahamia pacific ambako china ina udhibiti mkubwa, Miaka 30 kutoka sasa jiandae kuwaona wahamiaji haramu wa ki-Iran wakiwa kwenye malori wakielekea south! We switching to solar and...
  14. omushaijamkulu

    Wananchi Muleba waiomba Serikali kuwafikishia mawasiliano ya radio na simu

    Iko nyuma kulinganisha na wapi? Hapa Tanzania hamna sehemu ambapo kuna vijiji vyenye unafuu wa maisha na pazuri kama Kilimanjaro, kagera na mbeya! Nimefanya biashara ya mazao nimeenda karibia mikoa yote huko ndani ndani uhayani wanajitahidi, vile vitoto unakuta matumbo yako nje asbh asbh...
Back
Top Bottom