Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nashukuruYaani ujinga wako unamuangushia jumba bovu demu wako, no wonder kakupiga chini kaona huna akili!
Mkuu nashukuruYaani ujinga wako unamuangushia jumba bovu demu wako, no wonder kakupiga chini kaona huna akili!
Mkuu sina matumaini tena na hii biashara, nimeamua ni focus kwenye kazi yangu, by the way nashukuru sana kwa ushauri wako, hapa Tanzania kuna watu wanafanya forex kama full time job na wamefanikiwa?Forex inamengi ndani yake usiwalaumu wanaouza signals.. binafsi Kuna mtu aliniunga kwenye group na alikuwa anauza signals but alianza kwa kutafuta wateja so akafanya free kwanza.. sikuwa nafuata signals zake maana hata kwenye group niliwekwa tu! Na sikupenda kufuata data za mtu mwengine! Lakini nilifatilia jamaa alikuwa real na members kwenye lile group walimake profits za kutosha tu! Nilimfatilia kila siku ila sikuwahi kufuata anavyotrade but profit zilikuwa zinaonekana kabisa.
Siku aliyokosea ni moja tu ambapo hata mimi nakumbuka niliweka hivyohivyo kwenye pea ya USDJPY ilikuwa ni ijumaa ya Kama wiki mbili zilizoisha hivi soko likaenda mlama watu tulitegemea ngoma itashuka but a fucking shit happened..😂
Jamaa aliomba msamaha akaahidi kuwa wiki inayokuja atamake sure watu wanarudisha profit zao.. na bei zake hazikuwa za juu kihivyo Sasa mtu anakutoza dollar 30 then unaweza kumake profit hata dollar 500 kwa wiki Kama upo serious! Nilijitoa kwenye lile group lakini siwezi msema jamaa vibaya sikuwahi fuata signals zake hata kidogo ila nilifatilia zilikuwa zinaingiza faida!!.
Mkuu mi sio mtaalum wa forex bado mchanga mno ila kwa nilichoona forex inahitaji
Uvumilivu
Mtaji wa kutosha (hapa kuna mawili usipokuwa makini ukajipa kiburi cha kuwa unamtaji mkubwa ukatrade hovyo jua kwisha habari!!,pia ukajiona unamtaji mkubwa ukatrade order nyingiii bila kujua risk napo pia wafwaa!)
Jua soko la fedha kiujumla namaanisha taarifa zote..
Chagua pea za kufa nazo utakazozijua Kama mkeo..😅
I mean hata kama ikienda against nawewe unaweza kutabiri itakuwa na kiburi hicho mpk wapi..? Je,pea husika hufanyiwa manipulation..? Maana nilichogundua sometimes huwa Kama Kuna fake movements!! Get to know that!.
Jijue nawewe ni mtu wa aina gani na u trade vipi usifate tu wanavyosema kina fulani!.. aisee toka nimeijua forex nishaona forums nyingi tu ila chaajabu huwa sifuati wanavyosema wale members! Mimi ni kila mtu anakufa na tai yake shingoni..🤣
Elimu Kama elimu ya forex ni muhimu pia!
Control your fucking psychology!! Narudia tena control your fucking psychology!!.
Hapa yupo uvumilivu!
Hapa yupo muamuzi!
Hapa yupo pressure!
Hapa yupo tamaa!
Hapa yupo yule anaekuambia "Kuna traders huko wanaingiza faida kubwa wewe unakwama wapi"😀
Yupo na yule anaekuambia ndani yako "ushakuwa trader mkubwa huwezi kukosea"😂
Hii biashara inamengi sana ndani yake ila nahisi ukiweza kuwa trader wa aina fulani hivi unaweza kuwa good trader tu but huchukua fucking time!. Sijisifu na Wala siiti mtu aje huku just kuja kwa miguu yako ili uondoke kwa miguu yako..😂
Hata kilimo kinawapoteza watu vizuri tu kikubwa nishajua hakuna pesa rahisi labda ujitahidi usome system za hela halafu we pindisha zianze kuangukia kwako!. Akili yangu sahivi imekaa kimagendo magendo tu..🤣
Nadhan nao wangekuwa mabilionea kama moMkuu nashukuru
Mkuu sina matumaini tena na hii biashara, nimeamua ni focus kwenye kazi yangu, by the way nashukuru sana kwa ushauri wako, hapa Tanzania kuna watu wanafanya forex kama full time job na wamefanikiwa?
Kwa tz sijui maana hata hivyo biashara yenyewe hii ndo inaingia wengi hawaielewi sijafatilia mi bado najifunza tu sitaki kujua ya fulani..😅Mkuu nashukuru
Mkuu sina matumaini tena na hii biashara, nimeamua ni focus kwenye kazi yangu, by the way nashukuru sana kwa ushauri wako, hapa Tanzania kuna watu wanafanya forex kama full time job na wamefanikiwa?
Wakuu habari zenu,
Baada ya kupigwa pesa zangu kwenye forex nimeamua na mimi nije kushare jinsi forex ilivyopelekea mpaka nime break up na gf wangu, lakini yote maisha nimejua wanawake almost wote ni lowkey gold diggers, kwa nini nasema hivyo nimepigwa $3200, $1000 zilikuwa ni za kwangu niliunguza account, nikamkopa gf wangu $600 nikaweka nikaliwa, nikakopa kwa jamaa angu $1500 nilikuwa na kigari nikaweka ku secure bond loan, nimeliwa pesa yote $1500.
Niseme chanzo cha ku break up kilianzia kwenye migogoro ya pesa na baadaye kufuatiwa vita vikali vya maneno kwa sababu nilikua nina hasira za kuliwa pesa zangu ilibidi nizimalizie kwenye huu ugomvi kwa sababu yeye ndiye alinianza, ki ukweli no outside parties were involved (at least from my side), chanzo ni pesa.
Nikiachana na hayo nimejiuliza maswali mengi, kuhusu hawa traders wanaokuwa wamefanikiwa hivi kwa nini wanauza signal kama kweli wanaingiza pesa kupitia Forex? kwa nini wana tozesha watu pesa kuwafundisha Forex?
Kwa kweli nimeamini ule msemo kwamba 95% wanapoteza pesa kwenye Forex, 4.5% lazima itakuwa ni kampuni kubwa za ku trade ambao kwa mwezi wanapata return ya 4% hadi 5% kitu ambacho kwa sisi masikini hatuwezi, 0.5% watakuwa ndio hawa traders wa kawaida wenye big account ndio wa kuitwa professional trader ambao hawana shida ya kupost profit insta wala kuuza signal au ku charge fee kufundisha watu(kwa mawazo yangu).
Hawa mentors wa Instagram na twitter washenzi sana, wamechangia pesa zangu kuliwa kwa kufuata signal zao pia, lakini mawazo yalienda mbali sana nikawaza hivi hawa mentors wanaojitapa wanajua kuvuta profit kwenye forex kwa nini wanauza signal, kwa nini wanawatoza watu fee kuwafundisha?, wanajitapa eti wao forex ni kama sehemu ya kwenda kuchota pesa na wanapost gari nzuri ufahari mwingi.
Hivi hawa mentors wanawazidi nini wale jamaa wametengeneza MT4, waliobuni indicators kama Moving Average, Stochastic, RSI, MACD n.k almost indicators 50 na zaidi. Binafsi naamini kama kuna watu wanaielewa Forex basi ni hawa wabunifu wa hivi vitendea kazi, lakini sijawahi kuwasikia wana kelele kama hawa traders wa instagram na twitter ambao huwa wanajiona ni miungu ya Forex, kazi yao ni kutoa motivation na kupost ufahari, tapeli wakubwa, pesa zao ni za wanafunzi na kuuza signal.
Mi nasemaje Forex ni utabiri tu, hakuna anayejua market ita move wapi, ni kukisia tu, hata uwe trader wa aina gani kwenye Forex direction ya market wote tunatabiri.
Katika kitu Forex imenisaidia ni kugundua kuwa my gf ni mchawi wangu, najua she’s so successful in her career thats why ameona hata tukiachana ataendelea kula maisha, yote maisha, namuombea afukuzwe hata kazi.
Kama Mtaji Wako ni mdogo, Forex Haiwezi Kukutoa Kimaisha, ni Bora Ubeti Au Ukalime, hata ikikutoa bahati imehusika.
Thanks.
Forex ili mvumiliane nayo lazima uwe na mpango wa mda mrefu, key Risk Management ya hali ya juu ( hapa ndio wana fail wengi ), nidhamu ya hali ya juuu sana.. wengi hupatia TA na hata SA ila kwasababu hawana uvumilivu na nidhamu broker huwakusanya kama sekiloja chambua.. wengi wana trade kuendesha maisha yao ya kila siku na ndipo wanapo kutana na mkono wa chuma 😀😀😀He he he $30 unapata $500 halafu unaamua tu kuacha! Ama kweli Forex is not for everyone!
Cc Dinazarde
Forex ni kwa wenye pesa, wasio na pesa ni kuotea na kama like bet.. kuna rafiki yangu alikuwa na nyota ya FX mwaka wake wa kwanza na wa pili alitengeneza zaidi ya 100 million , ila sasa hivi hata dollar mia hana 😄😄😄Hehehe umenikumbusha kipindi hicho mtifuano humu
Halaf wanakuambia forex is not for everyone na kweli
$ 3500 ndogo unachoma tu kama RM yako tia maji tia majiHuyu aliyeandika uzi fala kweli yaani dolari 3500 unaunguza akaunti? Tatizo ni tamaa na hofu, mtu anachukua $1000(2.3M) ananunua pikipiki Boxer anampa dereva amletee sh 7000 kwa siku (3$) yaan kwa wiki 50k(23$) na hapo oil anamwaga mwenyewe yaan ukinunua pkpk kwa $1000 kwa wiki unapata 42k ukimwaga oil hapo hujarekebsha sjui indicator sjui side mirror na nn!( Mtaani wanakuona umefanya bonge la investment) wkt huo pkpk inaweza kuibwa au ikapata total breakdown! Lakini cha ajabu mtu mwingine anataka adeposit $ 1000 kila siku apate $200 forex n taaluma vijana punguzeni punyeto na tamaa
Watu wapumbavu sana. Mtu ana duka la mtaji wa milioni 10 na anapata faida ya siku shilingi elfu 40 mpaka 50 na anaridhika. Kesho anafungua tena duka.Huyu aliyeandika uzi fala kweli yaani dolari 3500 unaunguza akaunti? Tatizo ni tamaa na hofu, mtu anachukua $1000(2.3M) ananunua pikipiki Boxer anampa dereva amletee sh 7000 kwa siku (3$) yaan kwa wiki 50k(23$) na hapo oil anamwaga mwenyewe yaan ukinunua pkpk kwa $1000 kwa wiki unapata 42k ukimwaga oil hapo hujarekebsha sjui indicator sjui side mirror na nn!( Mtaani wanakuona umefanya bonge la investment) wkt huo pkpk inaweza kuibwa au ikapata total breakdown! Lakini cha ajabu mtu mwingine anataka adeposit $ 1000 kila siku apate $200 forex n taaluma vijana punguzeni punyeto na tamaa