Recent content by omurwanga

  1. omurwanga

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

  2. omurwanga

    JamiiForums Tanzania KERO Responded DAWASA Mitaa ya Tabata Segerea kuna shida gani, Mbona hatupati Maji wiki ya tatu sasa?

    Huku Pugu mwezi wa pili huu hatuna maji, halafu kibaya zaidi, wanakaa kimya tu badala watuambie wateja wao tatizo nini na tuchukuwe hatua zapi. Wanatuona manyani tu!
  3. omurwanga

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina Diploma ya IT, Dereva, Data Clerk na Graphic Designer

    Data Entry Assistant at HOPE International Tanzania Data Entry Assistant at HOPE International Tanzania
  4. omurwanga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia analazimisha kuizanzibarisha Tanganyika kwa nguvu

    Au Muungano tuachane nao kabisa!
  5. omurwanga

    JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe uliozaliwa na mwezi nikutabirie kulingana na nyota yako

    Bhurume bhutakwisagurwa!
  6. omurwanga

    JamiiForums Tanzania Mwenye Mawasiliano na wasambazaji wa mbao zenye dawa kutoka Sao Hill

    Katikati ya Tabata relini na kituo cha gereji kushoto kama unaenda Ubungo.
  7. omurwanga

    JamiiForums Tanzania Hemp fabric

    Nauliza kama kwa hapa Dar kuna kiwanda cha kutengeneza T-shirt kwa material ya Hemp. Kiko wapi?
  8. omurwanga

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Wadau eti humu kuna mtu anajua huu mmea na faida zake kiafya?
  9. omurwanga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo wangu yupo UDSM, kuna mwanamke kutoka Rwanda anajigonga

    Achukuwe tu ngoma, ni wazuri sana kwa Katerero, wenyewe wanaita Kunyaza! Ila ajue kwamba siku wakiachana anatorosha watoto na kuwapeleka kwao. Pia awe makini asije kuwa ni mtu wa mfumo!
  10. omurwanga

    JamiiForums Tanzania Mipira ya kuunganisha kwenye bomba la maji

    Nimeshaupata.
  11. omurwanga

    JamiiForums Tanzania Mipira ya kuunganisha kwenye bomba la maji

    Umenisaidia sana.mkuu, mimi nataka mpira kama garden pipe. Unaweza kunipa gharama yake kwa mita kama 25.hivi?
  12. omurwanga

    JamiiForums Tanzania Mipira ya kuunganisha kwenye bomba la maji

    Wakuu, Naomba kujuzwa bei ya mipira imara ya kuunganisha kwenye bomba la maji kwa ajili ya kujaza tenki la maji na vyombo vingine na mahali naweza kuipata kwa Dar es salaam hasa katika maeneo ya G/Mboto na P/ Kajiungeni. Asanteni.
  13. omurwanga

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Subscribe utakuwa unaupata kwa urahisi pia.
Back
Top Bottom