Umenisaidia sana.mkuu, mimi nataka mpira kama garden pipe. Unaweza kunipa gharama yake kwa mita kama 25.hivi?Unataka mpira kama garden pipe (ule wa kumwagilizia bustanini) au unataka ule coil pipe (kama ule unaochimbiwa chini ardhini) kama garden pipe nunua ule wa (aljazeira)ndio mzuri na mgumu unatoka india [emoji1128] kama kampuni ingine ule umeandikwa (diamond)hakuna kitu kama maji yana presure mpira ukijikunja hapo hapo umepasuka na kama ni coil pipe nunua class' C'plan ndio mzuri ukinunua class C ile yenye mstari imekula kwako
Nimeshaupata.Unataka mpira kama garden pipe (ule wa kumwagilizia bustanini) au unataka ule coil pipe (kama ule unaochimbiwa chini ardhini) kama garden pipe nunua ule wa (aljazeira)ndio mzuri na mgumu unatoka india [emoji1128] kama kampuni ingine ule umeandikwa (diamond)hakuna kitu kama maji yana presure mpira ukijikunja hapo hapo umepasuka na kama ni coil pipe nunua class' C'plan ndio mzuri ukinunua class C ile yenye mstari imekula kwako