Watz kwa ujumla bado tunajikokota.
Crdb mlikuwa mnafanya vizuri lakini mara ya mwisho Msasani branch mliniangusha. Kuna watu niliuliza wakasema tawi hilo ndo zao. Uongozi mliangalie.
Issue ya ukabira isipuuzwe maana mteja akihisi hivo tayari inakula kwa benki.
Taifa kwa maana ya kila mdau wa elimu na hata taifa lenyewe tuache kushindana na walimu. Tukifanya hivo iwe tunalenga kuboresha kazi ya mwalimu ambayo mwisho wa mwisho ndo kulijenga taifa.
Badala ya ubabaishaji tujifunze na tushindane na nchi zilizofanikiwa katika elimu kama Finland, Korea ya...
Angalia tv zao kama huwezi fika kwao na ulinganishe na zetu.
Linganisha katiba yao na yetu.
Linganisha elimu yao na yetu.
Linganisha uchumi wao na wetu.
Tz imewekeza kiasi gani Kenya na kinyume chake.
nk nk nk nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna bomba la mafuta kutoka Uganda litapita Kagera.
Sgr za kwenda Burundi na Rwanda zote zitapita Kagera.
Kuna uwezekano wa kujengwa bomba la gesi kuelekea uganda linaweza pita Kagera.
Kwa kweli upande wa meli tumeyeyushwa. Kahawa ni msiba.
Lakini kwa ujumla tuna unafuu sana ukilingaisha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.