Recent content by omugishagwe

  1. O

    JamiiForums Tanzania UKAWA tuwe na kituo cha tv kabla ya Septemba mosi

    Naunga mkono.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Wazee wa CHADEMA wakutana na Dr. Slaa leo

    Tuombe sana.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na upinzani wa Tanzania

    Mbona hata wewe ukipewa nafasi hizo unaweza.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola kujiunga CHADEMA?

    eddy- Mtungirehi alikuwa Kyerwa siyo Mwibara. Na wakati akiwa mbunge alikuwa tlp hiyo hiyo.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Kumjadili magufuli kama mtu mchapakazi nje ya mfumo ccm ulooza ni kujidanganya bure.

    Slaa aliasi kanisa kumbe?
  6. O

    JamiiForums Tanzania Mengi kabahatika sana kushuhudia mahasimu wake wakidhalilika katika kipindi kifupi sana

    Kujadili kabila si level ya watz lakini Magufuri amekuwa akijitambulisha kama msukuma. Eneo la kuzaliwa au alipo mtu si kigezo cha kabila wakati wote.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Mohamed Dewji atangaza kuachia jimbo la Singida Mjini rasmi!

    Aende zake kwa amani.
  8. O

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuasisi mgomo wa madereva ni kwa manufaa ya nani?

    Hivi ccm yote ni dhaifu kiasi cha kuzidiwa ujanja na lisu +mnyika?
  9. O

    JamiiForums Tanzania Vyama Washirika wa UKAWA vyadhihirisha kuwa ni vyakikabila, Kikanda na kidini

    Basi na ccm si chama cha kitasifa kwa kuwa hakina wabunge pemba.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Utumiaji wa GNLD na Forever Living products ni hatari?

    Umachinga c hoja. Maisha ni kuchagua. Bei ingekuwa issue hata bike tusingenunua. Mlm ndo inapunguza gharama. Biashara yenyewe inamfaidisha kila mmoja. Kasoro zinaweza kutokea kama umechukua underdos,maelekezo mabovu au matumizi mabovu. Bidhaa hizi ni international. Kwani dhahabu au chumvi iko...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA

    Anaweza kufanya kazi labda kama hakuna misukosuko.
  12. O

    JamiiForums Tanzania Mwarobaini wa Kweli wa Mahakama ya Kadhi ni Huu, Wakristo, Waislamu, Kuukubali Bila Matatizo!.

    Ikitamkwa katika sheria za nchi ni kubinya uhuru wa kuabudu hata miongoni mwa waislamu wenyewe.
  13. O

    JamiiForums Tanzania Unaijua mikoa 7 inayoongoza kwa maisha duni Tanzania?

    Utafiti unaonesha kuwa Kagera halj ni ngumu. Kubali. Lifanyie kazi tuone jinsi ya kusonga mbele.
  14. O

    JamiiForums Tanzania Bunge la jioni kutakuwa na sehemu ambapo TBC1 watakata mawasiliano

    Hata mimi hilo nalitafuta sana.
  15. O

    JamiiForums Tanzania Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

    Basi na mimi natangaza kuhamia act kuanzia sasahivi. Ila press conference kesho hapa bukoba.
Back
Top Bottom