Vyama Washirika wa UKAWA vyadhihirisha kuwa ni vyakikabila, Kikanda na kidini

Haya ndo madhara ya kunywa viroba. Ndo maana hata hujui mada inahusu nini. TANU waliungana na ASP wakaunda chama kimoja kiitwacho CCM. Baada ya kuzaliwa CCM, vyama vya TANU na ASP automatically vilikufa. Sasa niambie kama muungano wa TANU na ASP unafanana na huu muungano wenu wa
UKAWA
mkuu ukubali ukatae hii mada inaligawa taifa
 
Hoja hapa ni kukubalika kwa misingi ya ukabila na ukanda. Ka nini iwe hivyo? Kwa nini isitokee chadema ikakubalika jimbo fulani la Zanzibar ama CUF uchagani?
kuto kukubalika sehemu ni maamuzi ya wananchi, ccm wanakubalika jimbo gani pemba?
 
sijamalizia uzi wako sababu a kusikia kichefuchefu na inawezekana dar hauijui toka lini dar watu wakapata viwanja kwa ukanda, ondoa pumba zako hapa
 
Njoo basi na hoja ya kupambana na hoja zangu

Tueleze kwanza kwa nini CCM iliweka Sera ya Mahakama ya Kidini kwenye Ilani yake.Watanzania tunasubiri Ushahidi wa Lema uliowasilishwa Bungeni kuhusu Mwasisi wa udini Tanzania.Watanzania tukipata majibu hayo ndio tutajua kama kweli CCM ya sasa haipandikizi Udini na Ukabila kwa Watanzania.
 
Akili zako haziko sawa kwani Rais wa nchi hii mkristo? Kumbuka huyo ndiyo mwenyekiti wa ccm taifa.

CCM ninmfumo Kristo na kila mtu anajua. Na nchi hii inaendeshwa na kanisa katoliki. Kama huamini kamtukane askofu Pengo uone kazi.
 
Wanao tugawa na kutaka kutuaminisha juu ya ukanda na udini wapo ma tunawajua,KILA SIKU HAWACHOKI KUWAAMBIA WANAINCHI ILI WAAMINI KUWA VYAMA FULANI NI VYA KIDINI AU KIKANDA,ILI WATUGAWE MA WAENDELEE KUTUTAWALA,TUMEWASTUKIA,NA HUO WIMBO HAUNA MVUTO TENA KAMA MAHARAGE YALIYO CHACHA
 
Kilichopo kwenye majimbo si UKAWA. ni vyama washirika wa ukawa. Na hakuna jipya kwani ni yale yale ya 1995, 2000, 2005 na 2010

Mbona CCM inaendeshwa na kanisa katoliki na sisi tumenyamaza tu. Reffer mateso anayopata Gwajima.
 
Kiukweli viongozi wa ukawa akili zao zinatakiwa kuunguzwa au kukaangwa ili zikae sawa sijui watakuwa limi na hoja za msingi za ujenzi wa taifa zaidi ya huu ujinga wanaotuletea kila siku kugawana madaraka.

mbona mnaanza kuweweseka uchaguzi haujaanza.? Tulien hvyo hvyo msubiri kunyolewa octoba na km Mmeshindwa kuagiza bvr za kutosha ongeen na viongozi wa ukawa waagize haraka sana ili watu wote wenye sifa waandikishwe!
 
Hakuna jambo nililotunga hapo. Huu ni ukweli ambao unapaswa kusemwa wazi wazi na unadhihiri kwa macho angavu

Ni kweli hujatunga jambo hapo.
Tatizo ulilonalo ni ufahamu mdogo wa Historia ya Dunia.
Ukombozi wa mwanadamu lazima uanzie walipo binadamu.
Binadamu wapo katika makabila na kanda.
Moto wa ukombozi ukisha shika kasi, unaenea sehemu nyingine zilizobaki.
Kwa faida yako, jitihada za kuufukuza ukoloni Tanganyika zilianzia Mzizima, tena na kikundi kidogo cha Waislamu waliojawa hekima, wakamtafuta kijana mmoja, msomi, mwalimu wa pale Sekondari ya Pugu kuungana nao.
Ukombozi wa nchi yetu ulianzia Kanda ya Pwani, tena na wafuasi wengi wa Kiislamu.
Lizaboni, Demokrasia ya Kweli itaanza Kikabila na Kikanda, na itaenea nchi nzima kama moto wa gesi ya Mtwara.
This is the history of Civilisation.
Sijatunga jambo hapo.
 
Hii ni analysis ya short sighted people. Umetumia kigezo gani na takwimu zipi kuwa majimbo ya kinondoni, Kawe na Ubujgo wakazi wake ni wakristo na watu wa bara na kuwa temeke ni ya waislam? Nasema kuwa analysis ni very poor na mpumbavu pekee ndiye anaweza kusema kuwa ina content.

Ukizingatia uhalisia, utakuwa ni kiongozi mjinga kabisa kama utaamini kuwa with meagre resources unaweza kuwa kila mahali. Hata principles za biashara na uchumi zinakataa. Ukiwa na resources chache ni lazima ufanye concentration kwenye eneo dogo halafu upanuke kuanzia hapo. Ni lazima uchague nucleus ya harakati zako.

Maharamia wa demokrasia CCM wametumia sana mbinu ya kuhakikisha vyama vya upinzani havipanuki kutoka kwenye vitovu vyao vya harakati. Mbinu mojawapo walizotumia ni kuhakikisha kuwa vyama vya upinzani haviwi na pesa na resourceful people. Watumishi wa umma waliokuwa wanaunga mkono vyama vya upinzani walifukuzwa kazi, wafanyabiashara walifanyiwa hujuma kupitia TRA, Viongozi walisakamwa na polisi, n.k. Sasa watu wameanza kuugomea upumbavu huo ambao umekuwa ukifanywa na chama dola CCM. Wajinga wafia CCM kwa sasa hata wafanye uchochezi wa namna gani, iwe kwa kutumia udini, ukanda au ukabila, the wheel is on the road turning forward, no way back. Mtahangaika sana lakini ukweli hautabadilika, CCM is going.
 

Ni kwamba, kwa muda mrefu kulikuwa na madai kuwa CHADEMA na CUF ni vyama vya kidini, kikabila na kikanda. Madai haya yamekuwa yakitolewa na wachambuzi wa masuala ya kisiasa hapa nchini.


Yaani umekaa na Mumeo Chumbani,kakusimulia hizo Propaganda,wewe ume beba na ku kariri na unakuja hapa kwa watu wenye kujielewa na kujitambua kutuambia kuwa eti ni "Wachambuzi wa Masuala ya ki Siasa hapa Nchini"

Bure kabisa wewe Lizaboni
 
Last edited by a moderator:
pointless! t is now UKAWA, umechemsha hoja hiyo ungeleta 2010 ungeeleweka siio sasa! okay kwa upeo wako cuf ni ya waislamu? haya tunakukubalia, na chadema ni ya wakristo? tunakukubalia nccr ya atheist? tunakukubalia.

kwahiyo ukawa ni wakristo plus waislamu plus maethiest plus everybody hoja yako inabakia nini sasa? sisi tunatambua ukawa sasa kwa kila mtu, wewe umebaki na slogan zilipendwa ya magamba wenzio?

Poor you
 
sijamalizia uzi wako sababu a kusikia kichefuchefu na inawezekana dar hauijui toka lini dar watu wakapata viwanja kwa ukanda, ondoa pumba zako hapa
Hicho kichefu chefu labda ni kwa sababu ya hiyo mimba changa uliyonayo. Kuna ndimu kwa wingi, maembe machanga na hata udongo utakusaidia
 
Back
Top Bottom