Recent content by omtiti

  1. omtiti

    JamiiForums Tanzania Huku tozo kibao wakiwekewa wananchi. Wakazi wa Liwale wanunua ndoo ya maji sh 1000/-

    Huyu maza tumepigwa na kitu kizito
  2. omtiti

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mkapa, Kikwete, na Magufuli nani amejenga miundombinu mingi?

    Mbona Nyerere na Mzee Alhassan Mwinyi hujawajumlisha ?
  3. omtiti

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Kinana wanauza mazao nje ya nchi si wakulima ,ni wafanyabiashara

    Asante kwa ufafanuzi murua
  4. omtiti

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Kinana wanauza mazao nje ya nchi si wakulima ,ni wafanyabiashara

    Kama hujaelewa ficha upumbavu wako kwa kukaa kimya , pathetic!
  5. omtiti

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Kinana wanauza mazao nje ya nchi si wakulima ,ni wafanyabiashara

    Ifahamike mazao hulimwa na wakulima kisha kulanguliwa na wafanyabiashara, tena yakiwa shambani na kwa bei ndogo sana. Kinana aambiwe ya kwamba lazima tuwe na utaratibu wa kuuza nje na kuingiza bidhaa ndani ya nchi, lengo ni kumlinda mlaji. Mfano kwa sasa mchele umepanda bei kwa sababu soko...
  6. omtiti

    JamiiForums Tanzania Kagera: Chalamila uso kwa uso na Kinana, apewa angalizo kusuasua kwa barabara ya Kagera - Kigoma

    Kusimamia kazi, na kupeleka fedha za mradi kwa wakati ni mambo mawili tofauti ,pelekeni fedha kwa wakati ili mjue kwanini Chalamila ni RC makini
  7. omtiti

    JamiiForums Tanzania Kinana: Waacheni wakulima wauze mazao yao sehemu yoyote wanayodhani watapata bei nzuri

    Ni mpuuzi wa kiwango cha Phd
  8. omtiti

    JamiiForums Tanzania Marekani kuiuzia Taiwan silaha za Dola Bilioni 1.1

    Wanachochea kuni ,ngoja tuone
  9. omtiti

    JamiiForums Tanzania Dada yangu Rais Samia pambania kombe acha kumpa ushindi wa chee Hayati Magufuli

    Dhambi dhidi ya mwendazake
  10. omtiti

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mikhail Gorbachev afariki Dunia

    Ndio maana alipanda vyeo harakaharaka ili atimize lengo la kuisambaratisha USSR
  11. omtiti

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa meneja wa TRC apata dhamana baada ya kukaa mahabusu siku 6

    Mama anaupiga mwingi sana
  12. omtiti

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli, kama sio leo basi ni suala la muda tu kupewa tuzo ya heshima kama Rais aliyesimamia vema rasilimali na kupunguza kero kwa wananchi

    Hajawahi kuua na amekufa hajaua,endeleeni kuaminishwa hilo jungu
Back
Top Bottom