Recent content by omongoreme

  1. O

    Yaliyojiri Kalenga: Uchaguzi wa Ubunge - Machi 16, 2014

    Tupeni updates makamanda
  2. O

    Freeman Mbowe aripoti tena Polisi (Makao Makuu); Ashikilia Msimamo Kutowapa Ushahidi

    kwa kuwa unapamana na udhalimu,basi tuko pamoja na mungu atasimama upande wetu. Aluta continua
  3. O

    Kwa heri mie nimeamua kujinyonga-Wakili Nyaronyo Mwita Kicheere

    Kaka usijinyonge kabla haujamaliza kumtetea Kamanda lwakatate
  4. O

    Zitto amuanika Waziri wa Ujenzi, John Magufuli kwa upotevu wa Tsh 252 Bilioni

    Magufuli kashikwa pabaya -kashindwa kabisa kujibu kabaki kubwabwaja tu! Mara hawezi kuongelea shati bila vest.Zitto jembe
  5. O

    Dr Slaa aizika CCM Tunduma

    Kwa mikakati inayowekwa magamba kwisney ,watumie fursa ya muda uliobaki kujifunza kuwa wapinzani makini iwapo wata survive baada ya uchaguzi
  6. O

    Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

    Dhuluma na hujuma za magamba zitafika mwisho,Mungu ameonyesha NJia.TULIANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU
  7. O

    Maneno maarufu secondary za bweni

    Beach-chooni -mazengo complex
  8. O

    Elimu ya Nape Nnauye

    jamani hamna waliosoma na nepi watupe data?
  9. O

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Ongera Myika kwa kuweka wazi, wananchi tumekuchagua sio kwa shahada bali uwezo ulionao. Kwa jinsi unavyochangia bungeni na unavyoendesha siasa unajitofautisha na wasomi vyeti. Siku moja tulimuuliza Mtikila pale SUA kuhusu elimu na majibu yake alisema yeye ahamini katika vikaratasi bali utendaji...
  10. O

    LIVE feeds: Taifa Stars Tanzania VS Indomitable Lions (Cameroon)

    Moja bila kafunga Samara DKK ya 89 Moira umekwisha.ongera taifa stars
  11. O

    Mkutano wa CCM mkoani Iringa 'wafana'

    Kwani shamba lake LA nyanya bad analimiliki?si ashauriwe arudishe majeshi kwenye nyanya?maskini Mzee wa watu
  12. O

    Simba v/s Azam fc, Yanga v/s Oljoro JKT Live updates

    Matokeo ni vipi arusha?
  13. O

    Kwa watu wa mkoa wa Mara

    Eni wa Iramba mura,
  14. O

    Kwa watu wa mkoa wa Mara

    Saganka angusha hiyo draft ya katiba watu watoe comment rather than rushing na kusajili umoja.
  15. O

    LHRC yaishtaki serikali ya Tanzania ICC

    Kama kawaida atasema ni UPEPO TU UTAPITA
Back
Top Bottom