Ni kweli unachosema, mie naamini huko ndo vijana wanaenda kuunganisha nguvu na kubadilishana mawazo namna ya kuiondoa sisiem, kwani watakuwa pamoja kwa muda mrefu, watakuja na mbinu mpya nyingi, kwa miaka 3 iliobaki watakuwa wamepikwa vijana sio chini ya milioni 1.5, litakuwa ni ongezeko kubwa...