Tujadili hoja ilowasilishwa sio kujibu kwa dhana na mitazamo ya kidhabiki.
CCM wamefika hapa walipo kwa mfumo huu wa kutokutaka kuambiana ukweli, eti utaonekana umetumwa huu sio ukomavu wa kisiasa.
Tujitizame upya.
Nikweli kabisa seems you know well this organisation, hakuna cha maana kinacho fanyika zaidi ya kujifaidisha wao kwa mishahara minono.
Lakini yote kwa yote tunaamini serikali hii ni sikivu na mungu anasikia kilio cha watu wake maana ndugu zetu wengi kawaachisha kazi nawengine kuwahamishia...
Binafsi nimependa muitikio wa wanakasulu. Nadhani kamanda atatumia fulsa hiyo kuwaunganisha wanakigoma na chadema maana yeye bado ni mbunge wa chadema.
Hoja ya msafara huo kuandaliwa na wana CCM sikubaliani nayo, maana kusema hivyo ni kuwadhalilisha wana kasulu, chadema na kuwapaisha CCM...
Kitendo cha katibu mkuu na mwenyekiti wa chama kutumia fedha nyingi za chama kuzunguka sehem mbalimbali za nchi ili kumzungumzia Zitto na wenzake inaonyesha nikwakiwango gani wanavyo muhofia zzk na tusipokuwa makini tutamjenga zaidi Zzk maanaa watanzania wa sasa wanauelewa mkubwa tofauti na...
Zitto, umeonyesha the way ulivyopikwa kisiasa uko juu kaka. Hakika wapo watakayo yaona maneno yako ni ya kinafiki lkn wenye busara wameona unaepusha nini na unamaanisha nini.
You deserve to be a leader, usikate tamaa kumbuka mti wenyematunda mazuri ndio unaopigwa nawe.
Napenda unavyolinda...
Haya ndio niliyoyategemea kwa kamanda zitto.
Namfahamu kwa ujasiri wake na misimamo yake hayumbishwi,hivyo hayuko radhi kukivuruga chama kwa hayo yalotokea.
Big up chief.
Inasikitisha sana tunapokuwa tunapingana kwa hoja za kitoto na matusi!!!!!.
Tujaliwa kuutumia uwanja huu kwa kuleta maendeleo chanya wala tusijenge chuki baina yetu.
Point to note , hatupaswi kudharau mchango wa mtu hasa kipindi kama hiki. Let people contribute their views.
Probably! Wanaomtazama zitto ndani ya chama kingine cha siasa they don't know him, what I can see Zitto is still strong and committed within chadema.
Anyway watu hubadilika lkn let see. Time will prove each any everything.
Note: kama taifa bado tunahitaji mchango na busara za wa kijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.