Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,668
Hujambo na karibu.
""Katika hali ya kisiasa inayoendelea nchini Tanzania, Hususani katika chama cha Chadema, Chama kikuu cha Upinzani,
Maswali ni mengi kuliko majibu, Kamati kuu kama chombo cha juu kabisa ktk chama, Kiliazimia kuwavua vyeo makada maarufu wa chama hicho kikongwe, Katika siasa za Africa Mash. Tuhuma mbalimbali zuliorodheshwa ikiwa ni pamoja na kuunda, Kambi ndani ya chama wakati ambapo chama kikiwa na wakati mgumu,Ikizingatiwa chama kimekua kikizushiwa tuhuma mbalimbali.
Je kwa haya kamati imafanya vema??