Acha wafu wazikane wao kwa wao ndio shida ya vyeo ya kujipendekeza na kufanya kazi bila ya kufuata utaratibu wa kisheria za mipaka ya uongozi, mwishowe unakuja kutolewa kwa aibu wa kujipendekeza ila jamaa asipojiekebisha ipo cku atapotezwa
Tafsiri utakavyoelewe wewe elewa ulivyoelewa, mnaakili za kitoto ndio maana,
Hamuishi kujipendekeza kwa viongozi wenu haya mimi simo kujipendekeza kwenu itawatokea puani,
Sorry hivi ukuu wa wilaya umeupa???
Vijana wa ccm mnaakili ndogo sana kwa akili zako na mzee wenu wa PRL nawafananisha na kichaa, Chadema ni taasisi kubwa taasisi hiyo imebeba robo 3 ya Watz kwamwe haiwez kuuzika hata kwa kupewa mali zote za duniani,
Najua umekosa hoja za kujibu na si ww tu hadi viongozi wenu wa kitaifa Lowassa...
Wavuta bangi ni viongoz wako wanaoongeaga utumbo mfano mmoja ni huyo makonda kila siku kauli za ajabu na haziwah kutekeleza na kiongoz mwingine team kukurupuka kashindwa kutatua sukari tu je? Ataweza kuongoza Nchi hii kama sukari limemshinda, haya nenda Lumumba kachukue Buku 7 kwa kuuza utu wako...
Zaidi ya %90 ya Watz hawana iman na jeshi la police, kuliko police akulinde ni bora ukatafuta mbwa koko akulinde kuliko police, nikweli police huwa wanahusika na uporaji,Watz wakae mbali na polifisemu
Hii Nchi si ya mama yako wala ya mafisiemu Nchi ya vyama vingi huuongwa kwa sheria na maridhiano sasa nyie mnaleta ubabe iko cku nahao vibaraka wa poccm watachoka tu hakuna marefu yasiyokuwa na Nncha, ndamamizeni tu upinzan mwisho wa cku mtaanza kujuta na kutupiana lawama.
Fisiemu imechokwa ndio maana juzi wajumbe wako 2000 na upuuzi police wako zaid ya 4000 kama mnajiamin kwel msitumie jeshi halafu muone, huo ni ushahid tosha fisiemu hampendwi na Watz
We kweli ndio kilaza hebu jiulize je? Ingelikuwa ni Chama cha upinzan mngetupiga mabomu,
Mbona mlisambaratisha mkutano ndani kwa Chaso?
Pia mbona mliusambaratisha mkutano wa ndani kwa A.c.t hilo unalijua kwa kutetea ujinga na ushabiki wa kishamba ipo cku mtakuja kuyajutia Watz hususani wa...
Ha ha ha ccm wote duuuh hata kama wametutukana wapinzani sitojali ila naota na ninachojua mm wanaccm wengi ni visukar tu sasa ukilinganisha kuuza utu wao na huku anakisukari atakufa na anaibiwa live anakufa
Inasaidia coz unajipendeza kwa njaa za ajabu umeuza utu wako haya nenda kalipwe lumumba buku 7. Mwanaume mzima unajipendekeza endelea kujipendekeza na hujapata ukuu wa wilaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.