Recent content by ommy15

  1. ommy15

    JamiiForums Tanzania Mtazamo binafsi: Hatua anazopitia mwanamke baada ya kuachika kwenye ndoa yake

    Nimeshuhudia mwanamke aliyeimba talaka kwa sababu mume wake ni malaya akirudi kwa mume wake huyo kama mchepuko baada ya jamaa kuoa mke mwingine hii ndani ya miaka 3 tu na amezaa nae mtoto nje ya ndoa
  2. ommy15

    JamiiForums Tanzania Speedaf wana changamoto gani?

    Wengi waliokuwa mawakala wa Kikuu pia ndio hao hao
  3. ommy15

    JamiiForums Tanzania Speedaf wana changamoto gani?

    Mkuu mimi niliagiza taa za gari Alli express. Mzgo ulifika haraka sana siwezi walaumu speedaf shida ipo kwa wabongo wenzetu mawakala wao ambao kwa huku kwetu ni mawakala wanaopokea na mizigo ya kukuu. Mzgo ulifika dar ndani ya siku 10 tu. Toka dar hadi nilipo imechukua mwezi mzma,ikabidi...
  4. ommy15

    JamiiForums Tanzania Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

    Mkuu unaweza kuelezea namna gani nitawaunganisha muuzaji wa aliexpress na hawa safirishaji Let say Mapembelo cargo au silent ocean
  5. ommy15

    JamiiForums Tanzania Speedaf wana changamoto gani?

    Sorry mkuu,utaratubu wao wa kupata mzgo ukoje hasa kwa sisi tulio mikoani?
  6. ommy15

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu leo kupokea mizigo Speedaf

    Inamaana kupata mzgo lazima mteja afike dar? Kwa sisi wa mikoani utaratibu ukoje?
  7. ommy15

    JamiiForums Tanzania Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Ulichokisema ni kweli mkuu,mimi nimefanya biashara ya migahawa kwa muda mrefu kiasi na biashara ya chakula ndio biashara yangu kuu. Kwa uzoefu wangu wa biashara ya chakula hasara inasababishwa sana na vijana wa kazi kwanza wahudumu,wapishi na wateja pia. Wahudumu ndio wezi namba moja watauza oda...
  8. ommy15

    JamiiForums Tanzania Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Ulichokisema ni kweli mkuu,mimi nimefanya biashara ya migahawa kwa muda mrefu kiasi na biashara ya chakula ndio biashara yangu kuu. Kwa uzoefu wangu wa biashara ya chakula hasara inasababishwa sana na vijana wa kazi kwanza wahudumu,wapishi na wateja pia. Wahudumu ndio wezi namba moja watauza oda...
  9. ommy15

    JamiiForums Tanzania Video: Kama wazazi tumejenga mazoea na watoto wetu wa kike namna hii, tutawaacha salama kweli!?

    Kuna binti nimewahi kuwa na mahusiano nae nilimuacha kwa sababu ya baba yake. Yule binti ukishinda nae siku nzima anamiongelea baba yake tu. Ilifika sehemu nilichoka hadi nikaanza kupata hisia mbaya dhidi ya baba yake nikaamua kumuacha kabisa.
  10. ommy15

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kupanda Mlima Kilimanjaro

    Wakuu mimi nafikiria mwaka huu nifike huko ila lengo nifike maeneo jirani na mlima sehemu ambazo nitapata view nzuri ya mlima. Nipo na watoto so sihitaji kupanda mlima. Ni maeneo gani mazuri
  11. ommy15

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Kumbuka hao ni maaskofu,hapo ni degree,masters na Phd tupu sio makanjanja hao
  12. ommy15

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu alimrusha mtu mwaka 2017/2018: Anamtafuta amwombe msamaha na kumlipa akikubali

    Pole mkuu,chakufanya hiiyo hela uliyoplan kumpatia nunua zawadi ya mtoto kama tayari amepata mtoto kama bado nunua hata kitenge mpelekee.
  13. ommy15

    JamiiForums Tanzania Tinted za kimarekani kwenye gari tunazipenda lakini zinahitaji uvumilivu tu kwakweli

    Tuna mambo mengi ya gizani
  14. ommy15

    JamiiForums Tanzania Tinted za kimarekani kwenye gari tunazipenda lakini zinahitaji uvumilivu tu kwakweli

    Nitaweka tinted zote sio hiyo ya mbele
  15. ommy15

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa lodge kuweni serious

    Kaka naona unaijua sana na hii sekta. Mungu akijalia mwisho wa mwaka huu nitaingia huko naomba nikutafute nipate madini.
Back
Top Bottom