Recent content by ominoliver

  1. O

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini Peugeot 404 na 504 ziliitwa 'nguruwe'?

    504 zilikuwepo aina 2,yaani CR naGL GLndio iliitwa guruwe ilikuwa na speed zaidi ya 180.ilikuwa na drive shaft kwa nyuma
  2. O

    JamiiForums Tanzania Nime-trade $200 nikapata $4000

    umeliwaaaa
  3. O

    JamiiForums Tanzania Precison kwanini Kahama si Mbeya

    abiria
  4. O

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Mabasi ya mwendo kasi UDART yachunguzwe yatakuja kusababisha mauaji ya kimbari

    mbona Ikarus zilikuwa injini nyuma na hazikulipuka?
  5. O

    JamiiForums Tanzania habari kuu tatu zinazokupa furaha moyoni

    hongera kwa taarifa nzuri
  6. O

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa leo na matumizi sahihi ya milango

    kwakawaida mlango huo ni mkubwa na mara nyingi inakuwa 2in one.Hii ni kwa ajili ya usalama ,kwani upo mbali na sehemu zingine kama jikoni au sehemu ya nyuma ya nyumba.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Bariadi, Simiyu: DC atoa siku 7 kwa Wafanyakazi wa hospitali kuchanga fedha na kununua mashine ya Ultra Sound iliyoibiwa

    Kwani vyombo vya dola si vipo.Vichunguze upotevu huo na wahusika wapilekwe kwa Pilato.Hao wafanyakazi wanahusikaje na huo wizi ,unless utuambie wapo wanao husika ,na kama wapo Mahakama zipo.Yeye hawezi kujifanya Mahakama ama Polisi.
  8. O

    JamiiForums Tanzania Nani anaipata clouds tv kwenye star times?

    Haipo imehamia Azam tv.
  9. O

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kelele: NEMC yatangaza rasmi kiama kwa wachafuzi wa kelele kwenye makazi ya watu

    Na library za kuuza cd na flash nk nazo zinahusika kwa muziki mkubwa nao waamriwa kupunguza sauti
  10. O

    JamiiForums Tanzania Kulikoni chaneli za ITV na Channel 5 zimetoweka hewani?

    Channel Ten ipo
  11. O

    JamiiForums Tanzania Kina dada mnajiamini nini kuweka housegirl nyumbani kwako?

    Hapo Godee sawa ,kwa nini ujizalilishe kwa kitu cha dakika 15 au20 na bado anakutunzia mwanao?
  12. O

    JamiiForums Tanzania KERO YA VIPAZA SAUTI MISIKITINI NA MAKANISANI

    Haya Makanisa na Misikit sio tatizo kwani sio kila siku ..Hizi studio au library zilizojaa mitaani zinapiga musiki tangu asubuhi mpaka usiku tena kwa sauti kubwa mbona hamzitaji?
  13. O

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa vodacom unayumba. Wateja wengi walalamika kukatwa salio bila sababu

    Hata mimi imenipata .Niliweka 500 nataka niangalie salio benki nikakuta wamekata 300.hivyo nikasitisha zoezi la kuangalia salio .tutahama.
  14. O

    JamiiForums Tanzania Miaka ya 80 TV zilikuwa bei gani?

    Tulikuwa tunaangalia KBC pale YMCA Moshi black and white.zimeingia wakati wa Mzee Mwinyi na nyingi zilitokea Zanzibar
Back
Top Bottom