Recent content by Omethe

  1. O

    Naomba kujuzwa makato ya mshahara ufuatao

    Hapo makato ni TRA ambayo ni kama asilimia 30% ya tofauti ya 2.5m na 720k halafu NHIF ni 3% ya 2.5 lakini WCF haukatwi chochote...
  2. O

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Tatizo la kuja na mada bila utafiti wa kutosha ndiyo hili hapo hakuna chochote kwenye hiyo list hapo kuna watu wana mishahara bana katengeneze list nyingine hizo taasisi inawezekana hao watu wa Karibu yako wanakuzidi mshahara unadhani ndiyo wanalipa vizuri just kwa sababu unalipwa kidogo ya wao..
  3. O

    Hotuba ya Bajeti ya msemaji Mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni katika Wizara ya fedha na mipango, mheshimiwa Halima Mdee 2020|2021

    Mimi bana nadhani ni vizuri kukosoa budget lakini comparator pia tutumie the most recent lakini kingine cha muhimu unapokosoa jitahidi kutoa na alternative solution siyo kila kitu mtu anafeli kuna vingine anafaulu..anapongezwa vile anavyofeli anaambiwa alipofeli na anashauriwa namna bora ya...
  4. O

    Mheshimiwa Rais, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, kwa unyeyekevu mkubwa hivi mfuko wa fidia kwa wafanyakazi (WCF) ni chanzo cha mapato ya Serikali?

    Kwanza nimpongeze mtoa hoja, Mimi ni mmoja wa watu ambao nimefaidika na huo mfuko.. lakini ni vizuri kuuelewa huu mfuko vizuri maana shughuli zake ni fidia tu! waingereza wanaita Compensation. Ni kweli kuna changamoto kidogo kwenye ukokotoaji wa fidia maana fidia inakokotolewa kwa kutumia...
  5. O

    Mwanamke akikukataa unahusisha na sababu za kiuchumi, kwani sisi hatuna hisia?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. O

    Nimeiba chupi ya mke wangu

    Huyu nae chupi ya mkeo unaibaje?
  7. O

    Msaada kisheria kuhusu mfuko wa fidia kwa wafanyakazi

    Hakuna makato yoyote anayokatwa mwajiriwa..Mwajiri ndiyo mwenye jukumu la kulipa kwa ajili ya waajiriwa wake.
  8. O

    Mhagama: Waajiri wawe wamejiunga na Mfuko wa fidia kwa Watumishi lazima ifikapo tarehe 30.7.2017

    Imesaidia wale waliopata majanga makazini wanaotakiwa kulipwa kulingana na Sheria iliyoanzisha mfuko huo..nadhani swala la takwimu ni Lao wenyewe kutoa..lakini nachojua ni endapo unahitaji takwimu unaweza kuwasiliana nao na ukapata takwimu sahihi zaidi from the source.
  9. O

    Mhagama: Waajiri wawe wamejiunga na Mfuko wa fidia kwa Watumishi lazima ifikapo tarehe 30.7.2017

    Na la kuongezea ni kwamba huu mfuko unamlipa mtumishi fidia, Bima inaweza kukupatia matibabu lakini haiwezi kufidia kipato kinachotokana na athari uliyopata..mifuko ya pensheni inakulipa mafao kulingana na michango yako na ni pale unapokosa kipato hii siyo fidia..lakini mfuko wa fidia unakul
  10. O

    Mhagama: Waajiri wawe wamejiunga na Mfuko wa fidia kwa Watumishi lazima ifikapo tarehe 30.7.2017

    Mwajiri ndiyo analipa hakuna makato yoyote kwa mtumishi
Back
Top Bottom