Recent content by Omela Odongo

  1. Omela Odongo

    Ushauri wa ndoa hii changa unahitajika kwa haraka

    Mimi si mhusika wahusika ni vijana waliooana hivi karibuni sasa wakaamua wanishirikishe kwa kuwa Mimi ni mhenga ndipo nikabaki kinywa wazi maana sijawahi kukutana na kesi kama hii.Ndipo niliamua nilete kisa hivi hapa jukwaani na nimejifunza mengi.
  2. Omela Odongo

    Dhambi ipi inakutesa huweezi kuiacha

    Hakuna mwanadamu anayeweza kushinda dhambi kwa nguvu zake Wala kwa msaada wa mwanadamu mwenzake.Tunashinda dhambi kwa msaada wa Mungu na Wala so kwa nguvu zetu.
  3. Omela Odongo

    Hakuna tena Mahubiri ya habari njema, kuacha dhambi, msisitizo ni matoleo

    Sasa uislam unahusikaje katika maada hii kwani umesikia kuwa waislam hawatoi sadaka kwao.
  4. Omela Odongo

    Tunga maneno kwa kutumia herufi "fwa"

    Hapo kupata sentensi kwa kutumia neno fwa mpaka uwe unatokea ukanda fulani wa jamuhuri yetu.
  5. Omela Odongo

    Ushauri wa ndoa hii changa unahitajika kwa haraka

    Anang'atwa wakati wa tendo la ndoa kwa miezi michache ya ndoa kifua Cha mwanaume kimejaa makovu na vidonda mwanamke anasema kuwa wakati alifanya hivyo huwa hajitambui.
  6. Omela Odongo

    Ushauri wa ndoa hii changa unahitajika kwa haraka

    Salam kwa wanajukwaa,. Kuna kisa kimoja ambacho nimekutana nacho katika kushauri wanandoa wapya ambao ndoa yao ina kama miezi miwili tu tangu walipofunga pingu za maisha. Nilibaki kinywa wazi baada ya kijana kuanza kutoa maelezo na alipovua shati kifua chote...
  7. Omela Odongo

    Hakuna tena Mahubiri ya habari njema, kuacha dhambi, msisitizo ni matoleo

    Bila Shaka mleta maada ni muumini mzuri wa Kanisa,na anasikitka kuona mafundisho kuhusu usafi wa kiroho yaani utakatifu,maonyo yanapotea kanisani.Kanisa limejikita upande mmoja yaani kuhubiri matoleo(sadaka) ,sasa badala ya kulalama nini kifanyike?
  8. Omela Odongo

    Hakuna tena Mahubiri ya habari njema, kuacha dhambi, msisitizo ni matoleo

    Bila Shaka mleta maada muumini mzuri wa Kanisa,na anasikitka kuona mafundisho kuhusu usafi wa kiroho yaani utakatifu,maonyo yanapotea kanisani.Kanisa limejikita upande mmoja yaani kuhubiri matoleo(sadaka) ,sasa badala ya kulalama nini kifanyike?
  9. Omela Odongo

    Hakuna tena Mahubiri ya habari njema, kuacha dhambi, msisitizo ni matoleo

    Kwani RC hawana mahubiri ya sadaka huku kwetu padri ametangaza hataki kuona mtu anatoa chini ya elfu moja hataki chenji kwenye sadaka.
  10. Omela Odongo

    Hakuna tena Mahubiri ya habari njema, kuacha dhambi, msisitizo ni matoleo

    Sasa si ahamie sehemu ambayo nafsi yake itashibishwa kiroho,hakuna sababu ya kukaa sehemu huku unalalamika kama wamekengeuka unaachana nao.
  11. Omela Odongo

    Hakuna tena Mahubiri ya habari njema, kuacha dhambi, msisitizo ni matoleo

    Yeah!kuna wengine wanadhani injili au habari njema ni Yale tu wanayopenda kuyasikia Ila yale wasiyoyapenda sio habari njema.
  12. Omela Odongo

    Hakuna tena Mahubiri ya habari njema, kuacha dhambi, msisitizo ni matoleo

    Mtoa maada hata hujui unachoongea,habari njema kwako ni ipi? Hivi hujui hata mahubiri ya watu kutoa sadaka ni habari njema
  13. Omela Odongo

    Tatizo la Maji Wilaya ya Sengerema lina takribani miezi 3 sasa

    Waache siasa kwenye mambo yanayohitaji utaalamu.
  14. Omela Odongo

    Mjadala kuhusu visima vya mafuta

    Sasa hayo mafuta yanatokana na nini?nini sifa za eneo kuwa na hayo mafuta?
  15. Omela Odongo

    Mjadala kuhusu visima vya mafuta

    Huo mchakato ndio ninaotaka kuufahamu.
Back
Top Bottom