Recent content by Omarymbwambo1980

  1. O

    JamiiForums Tanzania Askari magereza anafanya biashara ya kuendesha taxi

    Bora anafanya shughuli hiyo baada ya masaa yake ya kazi.wala hamna shida yeyote.Sasa wewe unataka tuchangie nini hapa.Inaonesha wewe unataka ufanye biashara hiyo peke yako.Acha roho yako ya korosho.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Moto Mkali Soko la Mbuyuni Moshi

    Poleni sana wafanyabiashara wa mbuyuni.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Ni upuuzi mtupu kumpigia kura Idris na Miss World Tanzania

    Big up Idriss watanzania tupo na wewe na tutahakikisha unarud na kitita cha mshindi.ukiona hupend game kaa pemben
  4. O

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanaume wafupi

    Inaonyesha umetendwa na mwanaume mfupi baada ya kukufaidi
  5. O

    JamiiForums Tanzania Msaada;

    Reginal Adminisration Secretary RAS
  6. O

    JamiiForums Tanzania Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants

    Sijui aliyetuloga watanzania ni nani? Mungu ibariki Tanzania yetu.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Traffic na rushwa

    Unastahili kufunguliwa mashtaka kwa kosa la kutoa rushwa na kuinyima mapato serikali
  8. O

    JamiiForums Tanzania Matukio ya kukumbukwa mwaka 2014

    Tezi dume
  9. O

    JamiiForums Tanzania Nisamehe Mwigulu Nchemba

    Kwa kweli hata mimi namkubali Mwigulu . Endelea hivyo hivyo Mungu ndie atakulipa kwa kuwatetea walalahoi wa nchi hii
  10. O

    JamiiForums Tanzania Hivi huu wimbo wa niseme niseme remix ni ya kidini?

    Mwishoni mwa huo wimbo wanajitaja toka kilimanjaro
  11. O

    JamiiForums Tanzania Umeme Mwanza

    Utarud saa tisa mchana huu
  12. O

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa mkuu jeshi la polisi IGP na RPC Dodoma

    Huu ujumbe nimeufowad kwa mmoja wa vigogo wa jeshi la polisi.hivyo taarifa za jamii forum zinafika kwa walengwa
  13. O

    JamiiForums Tanzania Siku ya kunawa mikono afya kitaifa morogoro

    Itabidi muyachemshe kabla ya kunawa
Back
Top Bottom