mgogo.orijino
Member
- Dec 30, 2011
- 26
- 1
Moto mkali umezuka Eneo la Soko la Mbuyuni hapa Moshi. Moto umeanza muda wa saa Mbili Kasoro usiku huu. Chakushangaza sana ni pale wananchi walivojaa kwa wingi eneo moto ulipotokea. Fire wamewasili eneo la tukio Kama baada ya nusu saa na kwa sasa shughuli za kuuzima moto huo zinaendelea. Chanzo cha moto hadi sasa hakijafahamika