HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,704
- 48,143
Naomba tujikumbushe matukio yaliotokea na yanayoendelea kutokea ndani ya mwaka huu ambayo yameleta gumzo kubwa sana.
Nakaribisha matukio yote iwe michezo, siasa n.k. Iwe ndani ya nchi, nje ya nchi au kifupi naweza sema Ulimwenguni.
Mimi nitaanza na machache na wandugu wengine mtaendelea.
1.Miss Tanzania kuvuliwa taji
2.Msichana wa kazi(Uganda)
3.Escrow