Sijui nimemkosea nin mwenyezi Mungu mimi kama kuna kosa napiga magoti natoa chozi mbele yako nisamehe nitoe kwenye haya mateso.
Natoa historia yangu fupi, sina elimu ya uandishi maana elimu yangu ya shuleni ni ndogo.
Kwa majina yangu ni Juma Elias Chacha, ni mwenyeji wa Tarime Bomani ndo...
watafanya ila itakua ni kimya kimya sas wakati wananyanduana nani atajua kam kuna mikunjano humo ndani mfan kam madawa ya kulevya yanpgwa marufuk kote dunian ukikamatwa ni kisanga lakin si yanauzwa? watu si wanatumia? Na ushoga uganda itakua hvyo.
Sio mwisho wa mashoga watakuwep na wataendelea kuwepo kapeni kama hzo ndo zinachochea ongezeko la ushoga ila watu hawaelew hilo yan hao hawana utofauti na wezi,vibaka mwiz utapga kufa lakin wizi upo palepale cha msing tuwalinde watoto wetu tuwakemee ili wakae kweny misingi iliyo bora
Inategemeana na siku nipo vip lak elf 30 vichej juu maan huku unawez uktembea na milion umeshikilia usipat jam yoyot ya wahuni yan full aman ukipotez ukamjua nan ameiyokot unaipat fresh usipomjua ndo imekula kwako
Kuna mahal inabdi,dharau zinadiz yeny wakat anampiga hakujua kam atamumiz hvyo hapo alipo anajuta kwanin nilifanya huu ujinga kila mtu ana yake sio we mwanaume kumuon mwanaume mwezetu yamemkut unamuon boya fala hamn ni jambo ambola hat wew linawez likatokea wangapi walipga wakaua hasira sio kitu...
Naomba msaada kuna series nadhani ni ya kikorea niliicheki sehemu flan kwa sabab ya mazingira sikuwez kujua jina la hyo series ni ya doctor jina la huyo doctor ndo jina la hiyo season nakumbuk baadhi ya matukio huyo doctor alikuwa anafanya kazi kwenye hosptal akiwa kwenye shughuli zake mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.