Recent content by omary_ally

  1. omary_ally

    Polisi walinzi wa Bank Shinyanga, ni kero kwa wateja

    Polisi kuingia na silaha benki inategemea na mazingira, hawez kumwachia silaha yake mwenzake wakat wapo wawil tu lindoni, na ukiangalia siku hizi hali sio nzuri sana silaha zinaporwa sana. Na pia sio watu wote wanaoingia benk ni wazuri, may be anapo ingia ingia na kutoka anakuwa anaepusha kitu...
  2. omary_ally

    Polisi wampiga mwanajeshi Tabora wanajeshi wazua taharuki

    Vyovyote vile lakin sheria still iko palepale mkuu. Mifano yako haileti maana hapa,
  3. omary_ally

    Polisi wampiga mwanajeshi Tabora wanajeshi wazua taharuki

    Haya mambo ni 'taiming' tu wakikuotea hata kama we ndo starring lazima ukae
  4. omary_ally

    Polisi wampiga mwanajeshi Tabora wanajeshi wazua taharuki

    Hao polisi wameiva kijeshi mkuu.,,wametumia mazingira ya tukio vizuri, cha msingi hapo Hakuna ushahidi wa kilichotokea zaidi ya story tu. Askari wa kibongo ukiogopa cheo chake tu na yeye ndo anazid kukuonea mnyonge. Big up polisi
  5. omary_ally

    Polisi wampiga mwanajeshi Tabora wanajeshi wazua taharuki

    Siku zote tunaambiwa jiheshimu utaheshimiwa. Naamini huyo nyota mbili alitaka kuleta ubabe wa kijeshi kwa masela(polisi) wakati yupo peke ake. Amesahau polisi wenyewe wa siku hiz wamepinda kinoma yani.
  6. omary_ally

    Polisi wampiga mwanajeshi Tabora wanajeshi wazua taharuki

    Kwa vyovyote vle jamaa alikuwa mbishi ikabidi nguvu itumike,..mkuu ulitaka wamwachie?? Sometime inabid tu punda afe mzigo(sheria) ufike.
  7. omary_ally

    Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Pia ana uwezo wa kusimama kwa kutumia mkia wake, anaweza kupanda mti Kwa kujinyoosha kwenda juu had kufikia tawi lililo karibu, yan inabaki sehem ndogo tu inayobeba mwili wake kabla hajafkia tawi analotaka kupanda.
  8. omary_ally

    Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Acha zako mkuu, black namba hawez kumeza hata mbuZi
  9. omary_ally

    Mama yangu adui yangu

    [QUOqaqaqsasaawqTE=Firstborn lastson;5564072]jazzakallahu khair!
  10. omary_ally

    Sifa hizi ni za bundi tu

    Kwa anaetaka kufuga ajiandae.;bundi anakula sana vitu kind ya nyama nyama kama vile panya, chura, nyoka wadogo wadogo na hata ndege wenzie. Ana kucha na mdomo mkali sana.
  11. omary_ally

    Sifa hizi ni za bundi tu

    Pia mara chache sana kumuona mchana, ye ucku Ndo anaamka.
  12. omary_ally

    Nyoka Mkubwa avuka barabara

    Sio koboko huyo, koboko ni mrefu lakin hata azeeke vp hawez kufikia unene huo, hilo ni chatu halina sumu
  13. omary_ally

    Kijana!! Kama huyu ni mpenzi wako

    Labda kama anavaa ivo kwenda kuoga.....
Back
Top Bottom