tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 499
- Thread starter
- #21
sema mkuu maana nipo njia pandaNajua tulikuwa tunaongelea BUNDI lakini jamaa akanichokoza nisamehe kwa jibu la mkato. Ntakuambia ukitaka kujua zaidi kuhusu hilo jina
sema mkuu maana nipo njia pandaNajua tulikuwa tunaongelea BUNDI lakini jamaa akanichokoza nisamehe kwa jibu la mkato. Ntakuambia ukitaka kujua zaidi kuhusu hilo jina
sema mkuu maana nipo njia panda
Kwa anaetaka kufuga ajiandae.;bundi anakula sana vitu kind ya nyama nyama kama vile panya, chura, nyoka wadogo wadogo na hata ndege wenzie. Ana kucha na mdomo mkali sana.
eheeee ndio umlete bundi?basi ni mzuri maana panya wanasumbua sana na paka wanawaogopa!
eheeee ndio umlete bundi?
si bure bahada ya miezi michache toka ufugaji wako utakapo anza lazima uwe mchawimoja ya ndoto zangu ni kuja kufuga bundi.
nashindwa kuelewa kwanini watu wanamuonea sana huyu kiumbe? kwani kufanya mishe usiku ni kosa?. nikipata gari ntamuweka kwenye tyre cover.si bure bahada ya miezi michache toka ufugaji wako utakapo anza lazima uwe mchawi
Shem nimefurahi kukuona ujue, hebu geuka walau kidogo khaaaa!!! Kila siku unatutia majaribuni na mgongo wako lol!!!!Kwa kingereza huyu anaitwaje? Nataka nikamgogo in order to further learn about !
kama kuku tu! Ila huyu lazima uharisheee ukimlaHivi anafaa kwa kitoweo?
mkuu unapenda mgongo loh,,,,,,!Shem nimefurahi kukuona ujue, hebu geuka walau kidogo khaaaa!!! Kila siku unatutia majaribuni na mgongo wako lol!!!!
kweli akilia kama sehemu kuna mgojwa lazima afeeWamesahau kingine... Anasauti mbaya kuliko ndege wengine.. Akilia badala ya mtu kuburudika unaskia kufakufa