Recent content by Omary Mkundi

  1. Omary Mkundi

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

    Acha akaonane na doctor
  2. Omary Mkundi

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

    Tatizo ni nini sasa?
  3. Omary Mkundi

    JamiiForums Tanzania Nyie watu wa Mikoani Mkija Dar mnatuchosha sisi Tupo Busy sana

    Kukaa dar tu mabango kamayote. Ungekua usa sipati picha
  4. Omary Mkundi

    JamiiForums Tanzania Nimefuta na kublock namba 50 kwenye simu yangu za wanaojiita marafiki zangu

    Fanya urafiki na Mungu sio watu.wanaadamu ni marafiki ukiwa nacho tuu.yakikupata matatizo wanasambaa
  5. Omary Mkundi

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani wa bangi na nchi za ulaya

    Umevuta bangi changa
  6. Omary Mkundi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemkuta mke wa jirani yangu guest house akienda kunyanduliwa

    Vicheche ndo zao hizo hata umpe nini kutoa papuchi ndio thehebu lao
  7. Omary Mkundi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama wa rafiki yangu changamoto

    Chapa ilale
  8. Omary Mkundi

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Stationery

    Kiujumla sijapitia hiyo biashara
  9. Omary Mkundi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomben ushauri nahisi kuchaganyikiwa

    Muonekano vipi?
  10. Omary Mkundi

    JamiiForums Tanzania KWELI Asali ni hatari kwa watoto wenye umri chini ya mwaka mmoja

    Nadhani hawajakuelewa weeeengi wewe umeuliza.lakini wadau wengi hawajakuelewa
  11. Omary Mkundi

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Voda kipindi mnaanza mlikua safi sana. Sasahivi sijui mmezidiwa wateja?sijui nipesa zimekua nyingi?sijui tatizo ni nini? Eti voda imekua yakwenye lami tuu ukiiacha lami kilometa tatu voda kwaheri
  12. Omary Mkundi

    JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    TTCL boresheni mtandao wekeni mawakala kila kona ya nchi kama mitandao mingine. tunashindwa kuwasapoti kwakua mtandao wenu mawakala wachache
  13. Omary Mkundi

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Hivi niwaulize vodacom. Huu utaratibu wakuturushia jumbe zinazohusu kamari nikwanini msituulize kwanza? wengine imani zetu haziruhusu.kiujumla mnaniboa saaaaana
  14. Omary Mkundi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Swadakta Swadakta mungu akupatie mume mwema. kama uko series
  15. Omary Mkundi

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Wakuu naomba ushauri kuhusu Biashara ya madini aina ya dhahabu wenye uzoefu mnipe maujanja
Back
Top Bottom