Recent content by omary kokole

  1. omary kokole

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hawapendi kupanga foleni au kukaa kwenye mstari kwa utaratibu kabisa?

    Tatizo ni la wahudumu pia,unafika unakaza foleni ..halafu Kuna mtu unaona kabisa amechelewa ila kwa sababu ya kujuana na mhudumu anavuka foleni moja kwa Moja kwa mhudumu napokelewa na bado mhudumu sio mtu wa kuchangamka labda awashawishi kupunguza foleni ....ninyi wengine foleni inabaki imenasia....
  2. omary kokole

    JamiiForums Tanzania Natembea na mke wa mtu, mume wake kanionya mara 3

    Endelea mpaka siku akodi minjemba ije ikujamii halafu utaamua uache au uendelee na upumbavu wako
  3. omary kokole

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa Ukraine: Wanajeshi wa Urusi wagoma kurejea vitani Ukraine

    Namashaka[emoji1304][emoji1304][emoji1304]
  4. omary kokole

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka huyu mtoto si wangu, ushauri wako wa muhimu mwana MMU!

    Achana na hizo mambo ndugu....wewe bdo kijana mdogo,kama angekubali kumuacha ubaki nae ningesema lea mtoto mpe mapenzi ya baba kwa maana amjuae baba wa mtoto ni mama ...alienda alipo toka,akawa amekata mawasiliano na leo hii amerudi kwako lakini amekataa kumuacha toto kwako maana yake wewe ni...
  5. omary kokole

    JamiiForums Tanzania Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

    Na hilo labda ndio lengo lao... wengi mjue mkienda kinyume mtapotea at most muogope kupingana na maagizo yao..[emoji28]
  6. omary kokole

    JamiiForums Tanzania Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

    Sio Mchezaji Vs Imani yake.... Imani ipo ndani ya mchezaji lwahiyo hapo ni mchezaji Vs Wavuruga imani na wavuruga imani ndio hao wanao mlipa mshahara kwa maana kama kumekuja sharti la kuvaa au kukosa mshahara basi ni wazi wenye kupalilia ushoga ndio haohao wenye kulipa pesa(mshahara)
  7. omary kokole

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Haki itasema..!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. omary kokole

    JamiiForums Tanzania Nipeni mbinu za kumpata huyu mwanamke

    Hii ndio mbinu mubashara kabisa......kama ana uwezo wa kutoka dinner basi hata kuja gheto ni simple sana [emoji39][emoji39]
  9. omary kokole

    JamiiForums Tanzania Kweli tulipofika si salama

    Movie hyo,kiki
  10. omary kokole

    JamiiForums Tanzania Kibiti, Pwani: Majambazi yaua Askari Polisi NANE(8)

    Mungu atusidie[emoji120][emoji120]
  11. omary kokole

    JamiiForums Tanzania IDEA: Jinsi ya kutoka kimaisha kwa hali ya sasa

    Ni yaleyale makampuni ya kudalalia binadamu.... Yani ni kujazana tu hakuna biashara inafanyika hapo.... Tolee ujinga mimi
  12. omary kokole

    JamiiForums Tanzania Nusrat Hanje wa CHADEMA alistahili ubunge EALA

    Yeye mwenyewe anasemaje
  13. omary kokole

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kanisa la Gwajima (Mzee wa Madongo) Mapambano yanaendelezwa

    Hahaaa kama kawaida popo wa mchana tupo tunakodoa kila nukta ya sekunde
  14. omary kokole

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeokota kifaa lakini nimeshindwa kukitambua

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  15. omary kokole

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeokota kifaa lakini nimeshindwa kukitambua

    Kifaa cha kubadili jina.....
Back
Top Bottom