- Thread starter
- #21
Ikiwa ni ndugu yako si ninakuwa shemeji yako mkuu?Hatukujui, hatumjui, tukupe mbinu, what if ni ndugu yangu!?
Mwenye dada hakosi shemeji
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiwa ni ndugu yako si ninakuwa shemeji yako mkuu?Hatukujui, hatumjui, tukupe mbinu, what if ni ndugu yangu!?
Kizuri kula na nduguyo mkuuNnaweza nikatoa ushauri halafu kumbe mdada mwenyewe nami niko kwenye harakati naye.....
Wewe huwa unapendaje Evelyn?Possible umemkata stimu kumtongoza, I hate kutongozwa especially part ya "sasa jibu langu vipi" aaah mmaeeh
Haahaaaaahaaa.....we jamaa fix sana hukupanga kumuoa wala nini! Na kaishakushtua hupati tamuu!Ninampenda. Lakini kwa mikato yake, nahisi tutasumbuana mbeleni kwenye ndoa.
So, nimebadilisha gia hewani...nataka tu nile halafu nisepe
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kuwa na shemeji domo zege.Ikiwa ni ndugu yako si ninakuwa shemeji yako mkuu?
Mwenye dada hakosi shemeji
Sent using Jamii Forums mobile app
Tujikute tu kishanichinja, naona manyoya yaleeee....sio ooh sasa nakupenda vikaenda vikarudi sasa naomba jibu yani hadi nyg huwa zinayeyuka nikiambiwa hivo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hatukujui, hatumjui, tukupe mbinu, what if ni ndugu yangu!?
Nawaelewa sana ...Tujikute tu kishanichinja, naona manyoya yaleeee....sio ooh sasa nakupenda vikaenda vikarudi sasa naomba jibu yani hadi nyg huwa zinayeyuka nikiambiwa hivo
Mnulie gariWakuu,
Mimi nimepanga hapa Dar. Kuna mwanamke naye anakaa Nyumba hii hii niliyopanga (anakaa na ndugu zake)
Huwa tunawasiliana almost kila siku kwa simu, na juzi kati nilimnunulia vizawadi toka supermarket(ili kuzidi kuweka ukaribu) na alipokea vizuri kabisa.
Jana nilimtoa out for Dinner na katika mazungumzo nikachomekea mtongozo.
Hakuonyesha ushirikiano sana, na akasema hawezi kunipa jibu kwa wakati huo. Jibu lake hilo liliniweka out of mood kichizi.
So naona kama mbinu niliyotumia (Plan A) haijazaa matunda niliyotegemea Coz nahitaji kumla huyu mtoto fasta.
Kwa hiyo wakuu, hebu Nipeni Technics na maujuzi nimn'goe huyu mtoto mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wanaume wenzangu mnanishangaza. Pado mnatumia hizi fomula "zilipendwa". In short mwanamke akishakuona kama rafiki, imekula kwako na kutoka kwenye friendzone ni sawa na ujitose kuandamana. Friend zone is hell of a place. Ulitakiwa by day 3 uwe umeua.Wakuu,
Mimi nimepanga hapa Dar. Kuna mwanamke naye anakaa Nyumba hii hii niliyopanga (anakaa na ndugu zake)
Huwa tunawasiliana almost kila siku kwa simu, na juzi kati nilimnunulia vizawadi toka supermarket(ili kuzidi kuweka ukaribu) na alipokea vizuri kabisa.
Jana nilimtoa out for Dinner na katika mazungumzo nikachomekea mtongozo.
Hakuonyesha ushirikiano sana, na akasema hawezi kunipa jibu kwa wakati huo. Jibu lake hilo liliniweka out of mood kichizi.
So naona kama mbinu niliyotumia (Plan A) haijazaa matunda niliyotegemea Coz nahitaji kumla huyu mtoto fasta.
Kwa hiyo wakuu, hebu Nipeni Technics na maujuzi nimn'goe huyu mtoto mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
We mwite ghetto akusaidie kitu ....mambo ya mitongozo waachie watoto wa form two
Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka kuongeza namba ya single mothers.