Recent content by Omarion emmyriano

  1. O

    JamiiForums Tanzania Msaada wasomi kuhusu Admission letter UDOM kwa Diploma

    Jamani msaada kwa anaejua ni lini selection za diploma round 2 zitatoka lini?
  2. O

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mirathi

    Imekuja accidentially mkuu
  3. O

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mirathi

    Habarini umu ndani, nimatumaini yangu muwazima wa afya. Naomba nijuzwe je ikiwa marehemu ameacha watoto wawili na baada ya msiba ikafahamika alikuwaga na mtoto mwengne alieza nje ya ndoa, je mtoto uyo wa nje ya ndoa ataesabika katika kurithi?
  4. O

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Diamond traders investment program(DTIP)

    Uliza wenzako wa inclussive forex kyelele kishawaisha kama wewe unataka uwekeze kanunue hisa za kihalali izo kampuni ni za kipigaji sikushauri sema kama umekula sportpesa au mbet au premier bet kawekezee coz ata ukipigwa autaumia kama ni ela umeangaikia kwa jasho sikushauriiii...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anaejua gharama ya hizo kozi UDOM

    Course za education udom azizidi laki 7 zote izo laki saba apo
  6. O

    JamiiForums Tanzania UDOm

    Uweke kitu kile kipengele unakiluka
  7. O

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Dodoma mbona technical team hampo serious kiasi hiki?

    Udom kisengekuwa chuo changu ningewaita wasenge
  8. O

    JamiiForums Tanzania Tetesi: selection za diploma udom

    Shukrani kaka nimependa maelezo ako merci [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
  9. O

    JamiiForums Tanzania Tetesi: selection za diploma udom

    u cant be serious
  10. O

    JamiiForums Tanzania Tetesi: selection za diploma udom

    habarini humu ndani? ningependa kufahamu au kupewa maelezo kwa yeyote atayokuwa nayo, kuhusiana na akaunti za udom kutokufunguka na kuambiwa tumekosea passowrd ilihali password azjakosewa and pia selection za diploma apo apo udom na zipataje?
  11. O

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Msomi Jebra Kambore

    Ipi iyo
  12. O

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Msomi Jebra Kambore

    Ko mkuuu ww aumjui
  13. O

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Msomi Jebra Kambore

    Respect brother
  14. O

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Msomi Jebra Kambore

    Kwani jamaaa alisoma chuo gani na ni mwenyeji wa mkoa gan?
Back
Top Bottom