Jf ingekuwa na watu kumi wenye uelewa wako bila shaka ingefaa iitwe the home of great thinkers...
Vijana wengi wanaleta mboyoyo hata katika maswala ya ueledi... get yo heads busy. Msisubiri kukopi na kupest kauli za Lema.
Of course who iz nyerere was he JESUS...? Haya ma mtu yamezoea kuabudu watu yalithubutu kusema wakati wa kampeni eti dr slaa ni kama nabii MUSSA.., mengine yakasema eti ni zaidi ya nabii Mussa eti slaa ni chaguo la Mungu.
Of course who iz nyerere was he JESUS...? Haya ma mtu yamezoea kuabudu watu yalithubutu kusema wakati wa kampeni eti dr slaa ni kama nabii MUSSA.., mengine yakasema eti ni zaidi ya nabii Mussa eti slaa ni chaguo la Mungu.
Tumia akili zako vizuri wewe au ndo form4 wa 2012 nini. Chadema wakifanya mikutano yao bila kuathiri mahudhurio yao bungeni hakuna anaekosoa.
Lini wabunge wa ccm walikacha bunge kisa maswala ya chama.
Kwani kuwa chadema mpaka uwe mburura? Mnaniboa sana mnapo kuwa norrow minded.
Chadema ni ma-bogus kweli kweli. Mtu akiongea kwa kuwaunga mkono mnakubali bila kufikiri akiongea tofauti mnapinga bila kuchunguza.
Mavichwa yenu ni kama housing ya cm isiyo na saketi ndani.
Ujue tunatatizo la kuhukumu nambo kwa kutumia nyoyo kuliko bongo... CUF walipigwa, waliteswa, walifungwa na kuuwawa wengi kwa idadi ambayo CDM hawajafika hata 1% ya idadi ilo fikia. Tuliwaona ni wazanzibari., hatukuchukulia kivile.
Ni vema tuwe wakweli... chadema ndo chama kilicho na wafuasi...
Jf ni home of great thinkers... hivi polisi ingelikuwa hawaruhusiwi kupiga risasi hizo bunduki wamepewa za nini... wangebebeshwa matoi basi.
Askari akifyatua risasi hewani wewe huogopi unajiita kamanda., badala yake unamshambulia unataka afanyeje. Ni vyema kwanza yukaanza kulitii jeshi la...
Tatizo la chadema wamejaa usanii sometimes... wako busy na mambo ya ccm na serikali kuliko kutekeleza wajibu wao.
Walianzisha mifuko ya majimbo kwa ajili ya kusaidia vijana ktka masuala ya elimu, uchumi na mambo kama hayo.
Badala yake wamegeuka kwa busy na mambo ya kitaifa ambako hawana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.