Acha hofu ukisikiliza ya watu utashindwa kufanya yako!! Ualimu kwa sasa wanachukua 1-3 kwa ngaz ya diploma! Chakufanya unaweza kusubiri vyuo vya utumishi wa umma na vingine ving tuu anaweza kusoma!! Asiogope kila kitu kinawezekana!! Pia asiache kuangalia NACTE wakitoa matangazo yao na vigezo...
Dah!! Mdogo wangu amepata
C ya biology
D-Chemistry
D-English
D-Kiswahili
D-Civics
The rest amepata F
Nisaidieni huyu anaweza kusoma nn? Kwa matokeo yake haya!!
Kweli kabisa yani mtu anaogopa kitu kabla hajakiona na jamii pia inamlaghai kwa maneno yanayokatisha tamaa, kiukweli mwanafunzi wa aina kufaulu itakuwa ngumu sana hata angekuwa anajielewa vp.
Tatizo la kufeli kwa hesabu inawezekana lisiwe la serikal wala walimu, ni tatizo la cc wanafunz wenyewe, ebu chukulia mfano wakati unakua mamaako anakwambia babako hatujali,hatusikilizi wala haeleweki, kwa sababu we ni mtt unaweza ukayachukua hayo maneno kama yalivyo na ukamchukia baba yako bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.