VIKWAZO
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 1,899
- 581
Kama kichwa Cha habari hapo juu, Eneo la Kazi ni Dar Temeke Chang'ombe (DUCE)
SIFA
- mchapakazi
-mbunifu
- awe na uzoefu wa muda mrefu miaka 2 au zaidi, Kama aliwahi kufanyakazi sehemu yenye Chuo ni bora zaidi
- awe na network Yaani wataje wanaomfahamu na kumpa kazi
- awe anajua misingi ya huduma Kwa wateja
- awe na uwezo wa kufanyakazi muda wa ziada pale inapotakiwa
- awe anaishi karibu na eneo la kazi ili kusiwe na changamoto za usafiri
- uelewa wa shughuli zote za stationary
Mshahara ni maelewano
Email cv mushymh@icloud.com