Recent content by olym

  1. olym

    Ilikuwa ni mwanaume kwa mwanaume

    Mbinu hiyo hapo mkuu
  2. olym

    Phone4Sale Nauza iphone 6 plain (16gb) 170k

    Hainaa tatizo na imepasuka au ni protector, ila vizuri useme specification zake
  3. olym

    Nina miaka 45, nimependwa na mwanaume wa 38

    So ni chai kama chai zingne au???
  4. olym

    Tusidanganyane, mimi napenda pesa sana

    Ila hata upendi pesa, kumbe bado unapanda bajaji na uber...bado bado sanaa, jitahidi sana, anayependa na hvyo vigezo ni mbingu na ardhi,..ww wa mbagala au buza, hapo unaona ndio pesa...dah elimu elimu elimu
  5. olym

    Mji mzito huu

    Haya mambo nashindwa imagine, nikimuonaga mchizi alafu anakamuliwa daaah aibu sanaa
  6. olym

    Hi Gents

    Hahaha dah nimecheka sana
  7. olym

    Hi Gents

    Yumo ndani mpaka dk hii hahaha
  8. olym

    Hivi ni sahihi kisarufi kusema nimekuja hapa tangu jana?

    Dah asante sana, tunaongea kiswahili ila kina ugumu sanaaa, nimefaidika na kupata elimu na mchango wako, ubarikiwe sana.
  9. olym

    Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Mmeshawekewa story ya uzinzi, mnayoojifanya mnajiheshimu kumbe ni uzinzi mnang'ang'ania, huwa mkiambiwa ukweli mnakimbilia hbr za kuzaliwa miezi 9 tumboni, hapa forum sibishani na mamaa yangu naongeaa na nyie mnaogombania story za ngono mnatakaa niwaheshimu, aliyenizaa hana muda na upumbavu kama...
  10. olym

    Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Sema nikulipie uendelee kuwa zezeta wa vistory uchwara, yani jinsia ya kike ndio maana hamuishi kutapeliwa na kuibiwa mali zenu kizembe, mnatumiaga makalio kufikiria...jitahdini muanze tumia akili
  11. olym

    Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Yani wanawake sijui mnawazaga nini, ndio maana ninyi ndio mnaongozwa kutapeliwa kila kona kwa ajili ya kufikiria kwa kupitia makalio, wanaosema ukweli ni wanaume na wanatumia akili kufikiria sio ninyi mnasema mkitapeliwa poa, daaah siku ingne tumia akili bhana wanawake hata kipisi cha kanga...
  12. olym

    Kusafiri na watoto wadogo 1-8 ni kero

    Mkuu upo Kigoma alafu unagomea kupakata mtoto, utaki urudi salama?? Mimi ntavumilia tu kama mdau hapo juu hahaha
  13. olym

    JamiiForums Usiku wa manane

    Mmmh au unaweka ukingo tuogope??
  14. olym

    JamiiForums Usiku wa manane

    Fala kweli ww yaani umeamka nae valentine day?
Back
Top Bottom