Na ili kuelewa dhana hii, hebu tutafakari kidogo swali hili. Kati ya Mzazi na Mtoto, ni yupi wa kwanza kuwepo. Bila shaka, wengi tutasema ni Mzazi.
Mimi nina wazo tofauti. Hakuna mzazi wa kibaolojia(na hata kaa atokee mzazi wa kibaolojia) bila kuzaa kwanza mtoto. Kwa hiyo hiyo, mzazi yupo kwa...