Simu yangu haisomi simcards

Simu yangu haisomi simcards

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
10,258
Reaction score
14,102
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Simu yangu imeacha kusoma simcards. Nikiweka kwenye simu zingine zinasomeka. Tatizo inaweza kuwa nini?
 
Simu aina gani ?
Haisomi kabida lini au mtandao ?
Ulikua unafanya nini hadi au imeanza yenyewe
 
Simu aina gani ?
Haisomi kabida lini au mtandao ?
Ulikua unafanya nini hadi au imeanza yenyewe
Ilitokea imeHang kuRestart ikawa hivyo.Nikitoa simcard kuweka Simu nyingine inafanya kazi.NikiConnect kutumia WiFi ,hotspot inafanya kazi.Issue ipo kwenye simcard port!
 
Yaani kinatokea kitu kama hiki:
Screenshot_2020-01-24-15-34-36.png
 
Ni simu gani??
Je haisomi simcards au internet??
 
Restore factory settings. Hakikisha data zako za muhimu umezihifadhi kwenye memory card au sehemu nyingine au umefanya backup ya data kwenye simu.

Ninaamini njia hii itatatua tatizo.
 
Back
Top Bottom