Recent content by Olly Bless

  1. O

    JamiiForums Tanzania Waliofanya interview za CDOs lini majibu?

    Watakuwepo...ila wengine bado.mmh ni kama watu 800 wanakaribia kuisha
  2. O

    JamiiForums Tanzania Waliofanya interview za CDOs lini majibu?

    Tayari ila hamna Bado ....vipi wewe? Naona majina 13 tu leo
  3. O

    JamiiForums Tanzania Waliofanya interview za CDOs lini majibu?

    Amen
  4. O

    JamiiForums Tanzania Waliofanya interview za CDOs lini majibu?

    Wewe ni mwenzangu....tuendelee kuomba Mungu.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Waliofanya interview za CDOs lini majibu?

    Vipi mkuu umeitwa?
  6. O

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa ni Katibu Mkuu wa UVCCM, Je huyu naye ni kijana?

    Sio kweli Jokate mkubwa wa 1987.sasa ana miaka 36 ni mwanamke tayari
  7. O

    JamiiForums Tanzania Waliofanya interview za CDOs lini majibu?

    Nimeona ndugu....mimi pia bado.nimeanza kupata Hofu jamani
  8. O

    JamiiForums Tanzania Waliofanya interview za CDOs lini majibu?

    Amina....ngoja tuendelee kusubiri
  9. O

    JamiiForums Tanzania Waliofanya interview za CDOs lini majibu?

    Vipi Bado hujaitwa....nimeanza kupata wasiwasi wa kuitwa ....mana mkeka unatoka wapi
  10. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana ambao hamjawahi kuajiriwa

    Ni kweli nilifanya kazi na boss muhindi ....alikuwa ananifanya kama house girl wake.....na kazi ni ya kusomea.japokuwa walikuwa wananilipa nilijihisi kunyanyasika sana, niliandika resignation letter within 24 hrs.
  11. O

    JamiiForums Tanzania Uzi wa wale tulioshiriki oral interview na hatukubahatika kuitwa

    Zimetoka chache na leo
  12. O

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Serikali isiajiri wahitimu wote kama wanavyoajiri walimu na kada zingine za afya bila interview?

    Kweli kabisa ....mtu anapita written interview kwenye oral anakutana na maswali matano....alimaliza chuo miaka mitano na zaidi iliyopita, kwenye interview anapewa swali la kumention point 5 ambazo kama alitoka darasani mda mrefu alishasahau.atleast wangekuwa wanauliza maswali ya uelewa .
  13. O

    JamiiForums Tanzania Uzi wa wale tulioshiriki oral interview na hatukubahatika kuitwa

    Zile 26 au Kuna nyingine
  14. O

    JamiiForums Tanzania Uzi wa wale tulioshiriki oral interview na hatukubahatika kuitwa

    Kwani za maendeleo ya jamii zile 800 zimetoka mkuu?
Back
Top Bottom