Akaunti yako ya app ajira portal inasomaje mkuu??Kaangalie PDF mpya CDOs imeachiwa Mimi sijapata
Akaunti yako ya app ajira portal inasomaje mkuu??Kaangalie PDF mpya CDOs imeachiwa Mimi sijapata
we umeitwa?Akaunti yako ya app ajira portal inasomaje mkuu??
Mimi inasoma Selected for oralAkaunti yako ya app ajira portal inasomaje mkuu??
Mimi kada nyingne sio CDOwe umeitwa?
Utaitwa/ database...muombe sana MunguMimi inasoma Selected for oral
Lakini sijaitwa bado
Amen Mungu akafanye wepesiUtaitwa/ database...muombe sana Mungu
Tuwe na subira Mungu atusaidie.Mimi kada nyingne sio CDO
Ukiwa umefeli Oral interview status inabadilika?Utaitwa/ database...muombe sana Mungu
Ndiyo, unaandikiwa not selected for oral interview kwenye app sio website..jaribu kuangalia kwenye app yakoUkiwa umefeli Oral interview status inabadilika?
Mimi Bado inasoma Selected for Oral interview. Labda mpaka wamalize selection. Si Bado kama nafasi 400.Ndiyo, unaandikiwa not selected for oral interview kwenye app sio website..jaribu kuangalia kwenye app yako
Utapata but Kuna mtu kaniambia Bado kama nafasi mia tatu na something mpaka sasaMimi Bado inasoma Selected for Oral interview. Labda mpaka wamalize selection. Si Bado kama nafasi 400.
Nimeona ndugu....mimi pia bado.nimeanza kupata Hofu jamaniKaangalie PDF mpya CDOs imeachiwa Mimi sijapata
Kuna PDF lingne limetoka kaangalieNimeona ndugu....mimi pia bado.nimeanza kupata Hofu jamani
Mmmh.. Bado tunasubiria Mungu tunaomba subira na hekima katika kusubiri. Nimevinjika Moyo kabisa.Nimeona ndugu....mimi pia bado.nimeanza kupata Hofu jamani
Tupo wengi tunasubiri ndugu yangu tuendelee tu kumuomba Mungu nasi atukumbukeMmmh.. Bado tunasubiria Mungu tunaomba subira na hekima katika kusubiri. Nimevinjika Moyo kabisa.
Mungu atatukumbuka tu.. baba zetu wengine mpaka wamekufa hawajayaona matunda ya elimu walizotoa jasho na damu kugharimia.. angalau wapumzike kwa Amani huko waliko washuhudie hata wakati huu na sisi tukifanikiwa kupata ajira japo za uzeeni.Tupo wengi tunasubiri ndugu yangu tuendelee tu kumuomba Mungu nasi atukumbuke
Vipi mkuu umeitwa?Mungu atatukumbuka tu.. baba zetu wengine mpaka wamekufa hawajayaona matunda ya elimu walizotoa jasho na damu kugharimia.. angalau wapumzike kwa Amani huko waliko washuhudie hata wakati huu na sisi tukifanikiwa kupata ajira japo za uzeeni.
Mungu atusaidie.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Bado nikiitwa nitatoa mrejesho Mkuu. Kwa Sasa nasubiria Huruma ya IT wiki hii.Vipi mkuu umeitwa?
mpaka leo tarehe 09.10.2023 kwenye nafasi 800 walizo tangaza, bado nafasi 277 za watu kuitwa kazini. kila lakheri mliofika oral, ila kama sio leo basi zamu yako ni kesho, kikubwa mtabaki kwenye data base.Utapata but Kuna mtu kaniambia Bado kama nafasi mia tatu na something mpaka sasa
Duh so sadmpaka leo tarehe 09.10.2023 kwenye nafasi 800 walizo tangaza, bado nafasi 277 za watu kuitwa kazini. kila lakheri mliofika oral, ila kama sio leo basi zamu yako ni kesho, kikubwa mtabaki kwenye data base.